X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

  - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - Hier 06:42

MD TWANGE AKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA UMEME DODOMA

 Awataka Wakandarasi kuongeza kasi ili Miradi ikamilike kwa wakatiAsema lengo la TANESCO ni kuhakikisha inamudu mahitaji ya wateja wakeMkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa kusambaza umeme ardhini katika mji Serikali na Mradi wa Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Mkoani Dodoma.Bw. Twange ameelezea maendeleo ya  Mradi wa njia ya kusambaza umeme wa Msongo wa Kilovolti 33 kutoka Mbande hadi Zuzu  kwamba umefikia asilimia 48.35 huku Mradi wa usambazaji wa umeme ardhini kwenye mji wa Serikali Ihumwa ukifikia asilimia 64 ambapo hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 50.09 ambapo amewataka Wakandarasi kuongeza kasi ili Miradi hiyo ikamilike kwa wakati na ianze kuwahudumia wananchi.Mkurugenzi Mtendaji huyo pia amekagua maendeleo ya Mradi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Dodoma ambacho kimefikia zaidi ya asilimia 80 na  kinatarajia kukamilika rasmi mwanzoni mwa mwezi Septemba Mwaka huu.‘’Kituo cha kupokea umeme cha mjini kimefikia zaidi ya asilimia 80, nataka kuwaeleza kuwa mwanzoni mwa mwezi wa tisa Kituo  hiki kitakamilika. Kituo hiki kitatupa uwezo wa kuwasambazia umeme wateja wetu walioko Katikati ya mji  kwa kuwa kituo kilichokuwepo awali kilizidiwa na  tunachotaka ni kumudu mahitaji ya wateja wetu, alifafanua Bw. Twange.Aidha, Bw. Twange amesema licha ya changamoto za kifedha zilizojitokeza kwa baadhi ya miradi  amewapongeza wasimamizi wa Miradi kutoka TANESCO na Wakandarasi ambapo ameeleza kuwa kukamailika kwa miradi hiyo  kutachangia upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wananchi wa  Mkoa wa Dodoma na maeneo Jirani ya Mkoa wa Morogoro.

Articles similaires

MD TWANGE AKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA UMEME DODOMA

msumbanews.co.tz - 06:42

 Awataka Wakandarasi kuongeza kasi ili Miradi ikamilike kwa wakatiAsema lengo la TANESCO ni kuhakikisha inamudu mahitaji ya wateja wakeMkurugenzi...

Dkt. Biteko- Sekta ya Nishati Ni Uti wa Mgongo wa Maendeleo ya Viwanda Nchini

msumbanews.co.tz - 11/Jul 05:51

 SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua thabiti za kuboresha upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya viwanda...

MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA (EACOP) UMELETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI KWA WANANCHI WA TANGA

msumbanews.co.tz - 16/Jul 17:03

 📌Wananchi wampongeza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio ya ujenzi wa Mradi, wafikia...

MWENGE WA UHURU WAKAGUA MIRADI 7 YA BIL.2.2 LONGIDO

msumbanews.co.tz - 07/Jul 16:49

 Mwenge wa uhuru umekimbizwa umbali wa Km 222.4  ambapo umetembelea, umekagua, kuweka Jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo...

MWAIPAJA: TUTAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAJUKWAA MENGINE BAADA YA SABASABA

msumbanews.co.tz - 14/Jul 04:49

 Na. Peter Haule na Joseph Mahumi,WF, Dar es Salaam Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja amewataka...

MWENGE WAZINDUA BWENI LA MILIONI 168 MALULA SEKONDARI

msumbanews.co.tz - 06/Jul 03:58

Mwenge wa UhuruWanafunzi wa zaidi 80  wanaosoma shule ya sekondari Malula kata ya Malula Wilayani Arumeru wameondokana na adha  ya mabweni baada ya...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément