X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 07/Jul 16:44

USSI AZITAKA TAASISI ZA ELIMU NCHINI KUTUNZA MAZINGIRA

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ismail Ali Ussi amezitaka Taasisi za elimu nchini wakiwemo VETA kuhakikisha wanatunza mazingira sambamba na uoteshaji miti katika maeneo yao hayo yamejiri wakati wa ukaguzi wa mradi wa kuhifadhi mazingira na upandaji wa miti katika Chuo cha VETA Longido. Ussi alisisitiza taasisi  za elimu ikiwemo shule za msingi na sekondari kutunza mazingira ikiwemo upandaji wa vitalu vya miche ya aina mbalimbali ili kuhakikisha maeneo yaliyopo yanakuwa na uoto wa asili ikiwa ni kampeni ya Rais Samia Hassan Suluhu ya kuhakikisha Tanzania inakuwa ya kijani"Endeleeni kupanda miti ili kuhakikisha Tanzania inakua ya kijani ikiwemo kuhakikisha vitalu vua miti ya aina mbalimbali lakini napongeza VETA kwa kuanzisha mradi huu unaowapa fursa za ajira vijana"Awali akisoma taarifa ya mradi huo,Ofisa Ufugaji Nyuki halmashauri ya Longido,Remna Rombola alisema jumla ya miti 1000 imepandwa ikiwemo miche ya vitalu 8,000 ambayo imepandwa kwa gharama ya sh, milioni 4.3 ambapo halmashauri ya Longido imetoa sh, milioni 1.5 huku miti 1000 ikitolewa na  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) "Mradi huu utasaidia unoreshaji wa mazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo upunguzaji wa hewa ukaa"Awali Mkuu wa Wilaya ya Longido Salum KalLi amesema mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani hapo utakimbizwa kilomita 222.4 na kupitia jumla ya miradi saba ya bilioni 2.2

Articles similaires

MRADI WA WLER WALETA MAPINDUZI MAKUBWA YA USAWA WA KIJINSIA CHANIKA

msumbanews.co.tz - 25/Oct 18:36

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAMKituo cha Taarifa na Maarifa (KC) Kata ya Chanika kimeibuka na ajenda ya kuimarisha miundombinu ya shule na uwezo wa...

KC Kitunda Yaimarisha ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi

msumbanews.co.tz - 28/Oct 12:48

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAMKITUO Cha Taarifa na Maarifa katika kata ya Kitunda kimefanikiwa kuibua ajenda za kijamii na kuhamasisha usalama wa...

NAMELOK ATOA SOMO NAMNA YA UPIGAJI KURA KWA JAMII YA KIFUGAJI YA KIMASAI

msumbanews.co.tz - 28/Oct 19:06

MJUMBE wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Namelok Sokoine Ametoa somo la elimu ya jinsi ya kupiga kura kwa jamii ya...

KUKAMILIKA KWA MRADI WA AGRI-CONNECT UTABADILI TASWIRA YA MIUNDOMBINU MBINGA

msumbanews.co.tz - 27/Oct 12:40

 Katika juhudi za kuboresha miundombinu na kuinua uchumi wa wakazi wa wilaya ya Mbinga, Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

MRADI WA WLER WAIBUA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU GONGO LA MBOTO

msumbanews.co.tz - 25/Oct 20:10

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAMWANAWAKE wa Kata ya Gongo la Mboto wamehamasishwa kushiriki katika nafasi za uongozi na kujiimarisha kiuchumi...

DKT. MATARAGIO AAGIZA VIFAA VYOTE VYA UHAKIKI WA JOTOARDHI ZIWA NGOZI KUFIKA KWA WAKATI

msumbanews.co.tz - 22/Oct 17:36

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji...

DCEA Yakamata Tani 10 za Dawa za Kulevya, Yatoa Onyo kwa Wanafunzi na Bodaboda

msumbanews.co.tz - 21/Oct 12:47

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAMMamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watuhumiwa wanne katika eneo la Mlalakuwa,...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément