Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi amewataka walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Ganako Wilayani Karatu kutunza...
Vous n'êtes pas connecté
Mwenge wa UhuruWanafunzi wa zaidi 80 wanaosoma shule ya sekondari Malula kata ya Malula Wilayani Arumeru wameondokana na adha ya mabweni baada ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)kujenga bweni lenye thamani ya milioni 168.4Uzunduzi wa bweni hilo ulifanywa na Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa, Ismail AliUssi mara baada ya kukagua bweni hilo lenye vyumba 20 vitanda 40 na kupongeza juhudi za serikali katika kuinua sekta ya elimuAlisema mradi huo ni wa kimkakati unaopelekea wanafunzi kupata elimu bora , ndio maana serikali imeboresha sekta ya miundombinu ya elimu ili kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi unaongezeka zaidi. "Mradi huu umetekelezwa kwa ufasaha chini ya Uongozi wa Rais Samia Hassan Suluhu hivyo alimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mwinyi Ahmed Mwinyi na viongozi wengine kwa ujenzi wa shule hiyo katika kuhakikisha kiwango cha elimu kinaongezeka"Alisisitiza wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu hivyo na kuwapongeza wanafunzi kupitia klabu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) kuhakikisha wanatekeleza uadilifu na kushika yale yote wanayoelekezwa ili kupinga rushwa ikiwemo walimu kusimamia wanafunzi hao kupata elimu na kuendelea na mapambano dhidi ya rushwa Akisoma taarifa ya mradi huo Mwenyekiti wa Kamati inayosimamia miradi ya Tasaf, Onesmo Nanyaro alisema mradi huo utasaidia wanafunzi kusoma kwa bidii ikiwemo kuondokana na adha ya ukosefu wa malazi Awali akipokea mwenge wa uhuru kutoka Mkoani Kilimanjaro , Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenan Kihongosi alisema mwenge huo utazindua miradi 54 yenye thamani ya sh, bilioni 30.3 katika halmashauri saba Mwenge huo uliwasili jana mkoani Arusha na kukabithiwa eneo la King'ori Kibaoni Wilayani Arumeru ukitokea Mkoani Kilimanjaro ambapo utapitia miradi 54 kisekta yenye thamani ya sh, bilioni 30.3 mkoani hapa.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi amewataka walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Ganako Wilayani Karatu kutunza...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi amewataka walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Ganako Wilayani Karatu kutunza...
▪️Bilioni 33 kukutumika kukamilisha Jengo la ghorofa pacha-TGC Arusha▪️Biashara ya madini kufanyika kwenye Jengo▪️Ni mkakati wa...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa...
Makamu Mkuu wa Taasisi Prof Maulilio Kipanyula (katikati) pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti na Ubunifu Prof Anthony Mshandete...
📌Wananchi wampongeza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio ya ujenzi wa Mradi, wafikia...
📌Wananchi wampongeza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio ya ujenzi wa Mradi, wafikia...
Waziri wa Maji, Mhe. Juma Aweso (Mb), amehitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya maji...
Waziri wa Maji, Mhe. Juma Aweso (Mb), amehitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya maji...
Wakala wa Barabra za mijini na Vijini TARURA wanatarijia zaidi ya bilioni mbili kukamilisha Ujenzi wa Barabara ya TCA Levolisi,CCM,...