X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

  - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 10/Jul 04:04

KIONGOZI WA MWENGE AWATAKA WANAFUNZI KUTUNZA MIUNDOMBINU SHULE GANAKO

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi amewataka walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Ganako Wilayani Karatu kutunza miundombinu ya shule ili kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwa utulivu sanjari na kuhamasisha klabu za kupinga rushwa zinaendelezwa zaidiAlisema endapo miundombinu ya shule ikitunzwa vema itawezesha wanafunzi kufaulu kutokana na uhalisia wa utulivu uliopo na kusisitiza walimu kusimamia maadili sanjari na kuhamasisha klabu za wapinga rushwa zinaendelezwa ili wanafunzi wajue mbinu mbalimbali za kupambana na rushwa wakiwa mitaani na maeneo mengine. "Endeleeni kulinda miundombinu ya elimu sanjari na kupinga rushwa kwa wanafunzi lakini naipongeza halmashauri ya wilaya hii kwa kutenga fedha sh, milioni 30 kama mapato ya ndano kwaaajili ya ujenzi wa darasa shule ya msingi Ganako pia endeleeni kujenga na kukarabati madarasa mengine zaidi"Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ganako, Lucy Yamay aliishukuru halmashauri ya wilaya hiyo kutoa sh, milioni 30 kwaaajili ya ujenzi wa chumba kimoja cha darasa kwani mradi huo utawezesha wanafunzi kusoma kwenye mazingira rafiki ikiwemo kupunguza msongamano wa wanafunzi darasa niSambamba na hilo pia alimshukuru Rais Samia Hassan Suluhu kwakuendelea kuboresha miundombinu ya elimu ikiwemo utatuzi wa changamoto mbalimbali katika sekta ya elimu , awali Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk, Lameck Ng'ang'a akipokea mwenge huo kutokea wilayani Ngorongoro alisema jumla ya miradi nane ya Bil. 4.6 itazinduliwa, kuwekwa mawe ya msingi sambamba na miradi mingine kutembelewa ikiwemo lishe na matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Articles similaires

KIONGOZI WA MWENGE AWATAKA WANAFUNZI KUTUNZA MIUNDOMBINU SHULE GANAKO

msumbanews.co.tz - 10/Jul 04:04

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi amewataka walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Ganako Wilayani Karatu kutunza...

RAIS SAMIA ATOA BIL 19.6 UJENZI WA MIRADI YA ELIMU (SEQUIP) MKOANI NJOMBE

msumbanews.co.tz - 18/Jul 05:11

 Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa...

Mradi wa BOOST Kuwezesha Utawala Bora Katika Sekta ya Elimu

msumbanews.co.tz - 09/Jul 20:20

NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYOSERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu nchini kwa...

Mradi wa BOOST Kuwezesha Utawala Bora Katika Sekta ya Elimu

msumbanews.co.tz - 09/Jul 20:20

NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYOSERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu nchini kwa...

BILIONI MBILI KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA ZA TARURA JIJI LA ARUSHA

msumbanews.co.tz - 12/Jul 06:10

Wakala wa Barabra za mijini na Vijini TARURA  wanatarijia zaidi ya bilioni mbili kukamilisha Ujenzi wa Barabara ya TCA Levolisi,CCM,...

ADEM YAFANIKIWA KUENDESHA MAFUNZO KWA WALIMU WAKUU 17,817 WA MIKOA YOTE 26 NCHINI

msumbanews.co.tz - 10/Jul 16:11

NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYOKATIKA kipindi cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu-ADEM imeendesha programu...

Dkt. Biteko- Sekta ya Nishati Ni Uti wa Mgongo wa Maendeleo ya Viwanda Nchini

msumbanews.co.tz - 11/Jul 05:51

 SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua thabiti za kuboresha upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya viwanda...

UJUMBE WA BENKI YA DUNIA WATEMBELEA ADEM BAGAMOYO KUFUATILIA MAFUNZO YA UTAWALA BORA WA ELIMU

msumbanews.co.tz - 16/Jul 17:45

Ujumbe kutoka Benki ya Dunia wakiongozwa na Bi. Gemma Todd wamefika ADEM Bagamoyo kufanya ufuatiliaji wa namna mafunzo ya Utawala Bora wa Elimu kwenye...

UJUMBE WA BENKI YA DUNIA WATEMBELEA ADEM BAGAMOYO KUFUATILIA MAFUNZO YA UTAWALA BORA WA ELIMU

msumbanews.co.tz - 16/Jul 17:45

Ujumbe kutoka Benki ya Dunia wakiongozwa na Bi. Gemma Todd wamefika ADEM Bagamoyo kufanya ufuatiliaji wa namna mafunzo ya Utawala Bora wa Elimu kwenye...

KAMPENI YA "TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA" YAENDELEA SEKONDARI ROBANDA,SERENGETI

msumbanews.co.tz - 16/Jul 09:53

Katika mwendelezo wa kampeni ya kitaifa ya TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA, Sajenti Emmanuel kutoka Jeshi la Polisi, kitengo cha Dawati la Jinsia na...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément