Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa...
Vous n'êtes pas connecté
Atakagua na Kuzindua Miradi ya MaendeleoWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa ajili ya ustawi wa maendeleo ya wananchi .Mhe. Waziri Kikwete anatarajiwa kukagua na kuweka Mawe ya msingi katika miradi hiyo ambayo inakadiriwa kugharimu zaidi ya shilingi Bilioni 700 katika Halmashauri zote za mkoa huo.Mara baada ya kuwasili katika mkoa huo, Waziri Kikwete alipokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Daniel Chongolo ambaye alimpa hali ya maendeleo ya Mkoa huo na maandalizi ambayo yameshafikiwa kwa ajili ya ziara hiyo.Katika ziara hiyo, Mhe. Waziri Kikwete ameambatana na watendaji mbalimbali ambapo amemhakikishia Mkuu wa mkoa huo kuwa timu yake iko tayari kwa ajili ya kazi iliyowaleta.Vile vile, Mhe. Kikwete anatarajiwa pia kukagua Maendeleo ya Kituo cha Vijana cha Sasanda kilichopo wilayani Songwe ambapo atakagua mradi wa Shamba la vijana lililopo katika kituo hicho.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe....
Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa kutenga fedha za miradiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani...
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete, Mapema leo Jumatatu Februari 17, 2025 Jijini...
...... Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha majadiliano na...
📌 Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga📌Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umemeWananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili...
🎈🎈Waziri Ridhiwani Kikwete aihakikishia uwekezaji endelevuKamati ya Bunge ya Uwekezaji na mitaji ya Umma (PIC) imepongeza serikali ya Awamu ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akizungumza na...
viongozi na washirika wakiwa katika zoezi la uzinduzi wa Mradi wa jamii shirikishi Kanda ya kusiniShirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali...