X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - Aujourd'hui 04:58

WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WITO KWA WANANCHI WA CHIPOGOLO KUSHIRIKI MAENDELEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akiwa ameongozana na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo mara baada ya kuwasili katika Kijiji hicho alipofanya ziara iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (aliyevaa miwani) akisisitiza jambo kwa Viongozi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati Waziri huyo alipofanya ziara iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (aliyenyanyua mikono) akielekeza jambo kwenye korongo linalohitaji kujengwa daraja katika Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Wananchi na Viongozi mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Mwenyekiti Mstaafu wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo Bi. Grace Ndogwe akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati wa ziara ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Wananchi na Viongozi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo wakati akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo mara baada ya kuwasili wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Na. Mwandishi Wetu-ChipogoloWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kushiriki shughuli za maendeleo katika kijiji hicho.Mhe. Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ametoa kauli hiyo tarehe 25 Februari, 20245 akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Kata hiyo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.Akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chamsisili, Mhe Simbachawene amewasisitiza wananchi wa Kijiji hicho kuweka nguvu kazi kubwa kwenye daraja wanalokusudia kujenga kufuatia korongo kubwa lililoko sehemu ya Kijiji hicho.Naomba mshiriki maendeleo katika Kata yenu, adha tunayoipata kwa kutokushiriki maendeleo ni kubwa, hivyo tujitahidi kutumia nguvu zetu wakati Serikali inatafuta namna ya kufanya kupitia taasisi yake ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA). Amesisitiza Waziri Simbachawene.Katika kuhakikisha ujenzi wa daraja hilo unatekelezwa kwa haraka, Waziri Simbachawene ameahidi kuchangia mifuko 300 ya saruji. Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Chipogolo, Mhe. Kayanda Mwanika amemshukuru Waziri Simbachawene kwa kufanya ziara hiyo ambayo italeta chachu kwa maendeleo ya Kata hiyo.Vilevile Mhe. Mwanika amempongeza Waziri Simbachawene kwa ahadi ya mifuko 300 ya saruji itakayoongeza nguvu kubwa katika kukamilisha daraja hilo na kuahidi kushirikiana nae pamoja na wananchi wa Kijiji hicho kwa lengo la kuleta maendeleo.

Articles similaires

TAASISI ZA UMMA ZENYE KIWANGO KIDOGO CHA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO WATAKIWA KUONGEZA KASI

msumbanews.co.tz - 14/Feb 03:48

 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (Mb) amezitaka Taasisi za Umma ambazo bado...

ZAIDI YA ASILIMIA 40 YA WATUMISHI WA UMMA NCHINI HAWAFANYI KAZI

msumbanews.co.tz - 14/Feb 08:12

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi...

WAZIRI KIKWETE KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI SONGWE

msumbanews.co.tz - 24/Feb 05:10

 Atakagua na Kuzindua Miradi ya MaendeleoWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete leo...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KUTEKELEZA MRADI WA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA NA KATEWAKA

msumbanews.co.tz - 18/Feb 07:46

  ...... Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha majadiliano na...

WAZIRI KIKWETE AZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BIL.1.6 WILAYANI SONGWE

msumbanews.co.tz - 04:56

 Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa kutenga fedha za miradiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani...

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA WAZIRI RIDHIWANI KIKWETE KWA USIMAMIZI WA MIRADI YA NSSF ARUSHA

msumbanews.co.tz - 18/Feb 06:56

 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe....

KOROGWE WAIPONGEZA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME

msumbanews.co.tz - 24/Feb 19:05

 📌 Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga📌Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umemeWananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza...

WANANCHI LINDI WAENDELEA KUNUFAIKA NA ZIARA YA KATA KWA KATA YA DC MWANZIVA

msumbanews.co.tz - 24/Feb 05:14

 Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva anaendelea na ziara maalum ya kata kwa kata kwa malengo ya ukaguzi wa miradi sambamba na kusikiliza na...

MASAUNI:SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI MCHANGO WA DINI ZOTE

msumbanews.co.tz - 24/Feb 05:11

   Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango...

KIKWETE ATOA AINA 25 YA VIFAA KWA WENYE ULEMAVU, AISHUKURU SERIKALI NA KUAHIDI KUWA ITAENDELEA KUBORESHA ELIMU KWA MAKUNDI YOTE.

msumbanews.co.tz - 17/Feb 05:16

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément