Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa...
Vous n'êtes pas connecté
Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Chamwino Kwa kuonyesha na kusimamia thamani ya fedha katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya elimu katika Halmashauri hiyo.Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Justin Nyamoga ametoa pongezi hizo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya elimu ambapo Kamati hiyo ilitembelea katika Shule ya Sekondari Wasichana Manchali na Shule ya Msingi Membe.“ukipita utaona thamani ya fedha inaonekana katika miradi hii, fedha iliyoletwa inaendana na matokeo tunayoyaona kwahiyo Kamati inawapongeza wote Kwa usimamizi mzuri wa miradi”Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe.Festo Dugange, amesema ofisi yake imepokea maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na Kamati hiyo na kuyasimamia katika Halmashauri mbalimbali Nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa...
Na Chedaiwe Msuya, WF, MwangaVikundi vya Kijamii na Huduma Ndogo za Fedha katika Kata ya Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, vimetakiwa...
OR-TAMISEMIOfisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imefanya mapitio ya bajeti kwa kuzingatia muundo wa kanda na gharama za...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe....
Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa kutenga fedha za miradiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa...
Na. Eva Ngowi, WF, KILIMANJAROSerikali imewaasa wananchi kuepuka kukopa fedha kwenye Taasisi ama vikundi vinavyotoa huduma za kifedha bila...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Kilimo na Maliasili imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wake katika kuboresha sekta ya utalii...
Na. Josephine Majura, WF - Dodoma Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye...
Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, DodomaWashirika wa Maendeleo nchini wameipongeza Serikali ya Tanzania kwa maendeleo mbalimbali hususan...