X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 07/Sep 07:46

NGORONGORO WANAIPENDA CCM NA NI NGOME YA CCM

 KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Ngorongoro ni ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna chama mbadala kitakacho watatulia kero wananchi wa eneo hilo.CPA Makalla, ameyasema hayo  kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mazingira Bora, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku 6 katika Wilaya ya Karatu, Longido, Monduli.Amesema, baada ya mrejesho aliopata baada ya kikao cha ndani alichofanya na baraza la madiwani na wajumbe wa Kamati ya siasa Ngorongoro, ambapo wajumbe hao wameeleza kuonesha kuridhishwa na mwenendo wa CCM huku wakidai kuendelea kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.Pia CPA Makalla amesema, kutokana na Maendeleo yanayofanywa na Serikali ya CCM wananchi wa Ngorongoro kupitia viongozi hao, wameahidi kuendelea kukiunga mkono chama cha CCM na kusema kuwa hakuna chama mbadala kitakachoweza kuwaletea maendeleo.Aidha, CPA Makalla amesema kuwa, mbali na kutoweza kufika Wilaya ya Ngorongoro kutokana na zuio la Jeshi la Polisi lililotolewa hivi karibuni, amesema bado CCM inatambua mchango wa wakazi wa eneo hilo na kuahidi kuendelea kupeleka maendeleo na chama hicho kitajitahidi kufika pindi watakaporuhusiwa.

Articles similaires

CPA MAKALLA AWATAKA WATENDAJI MPAKA WA NAMANGA KUONGEZA UFANISI WA UTENDAJI

msumbanews.co.tz - 06/Sep 08:44

 KATIBU wa NEC,Itikadi,Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, CPA Amos Makalla, amewaelekeza watendaji katika kituo kilichopo katika...

WAZIRI JAFO ATAKA WANANCHI KUACHA KUCHANGANYA MAZAO

msumbanews.co.tz - 10:06

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakitembelea na kukagua Ghala la Mpako...

DKT. KIRUSWA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUMTUMBUA ALIYEKUWA DC LONGIDO

msumbanews.co.tz - 06/Sep 17:10

 Mbunge wa Jimbo la Longido Mkoani Arusha ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Lemomo Kiruswa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

ZAIDI YA WANANCHI 4300 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI NDELENYUMA RUVUMA

msumbanews.co.tz - 06:27

 WANANCHI zaidi ya elfu 4 wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama, kufuatia Mradi wa Maji wa Bilioni 1.6 ambao umefikia asilimia 86.7...

CPA Makalla:Hatutawaletea wagombea wakusafishwa na dodoki

msumbanews.co.tz - 08/Sep 05:07

 KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,CPA Amos Makalla, amesema chama hicho hakipo tayari kusimamisha...

MONGELLA AKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA SHINYANGA MJINI

msumbanews.co.tz - 07/Sep 07:47

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, leo Septemba 6, 2024, amekutana na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya...

POLISI WAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA ,CCM WALAANI UTEKAJI

msumbanews.co.tz - 14/Sep 05:02

Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa na chama cha upinzani Chadema kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe...

WANANCHI LONGIDO WATAKA SHULE ZA BWENI KUIMARISHWA ULINZI

msumbanews.co.tz - 07/Sep 11:12

Wananchi wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wameiomba serikali kujengea uzio shule zote za serikali za bweni zilizopo katika wilaya hiyo lengo ni...

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

msumbanews.co.tz - 17/Sep 05:17

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza zaidi...

DHAMIRA YA RAIS SAMIA NI KUONA WANANCHI WANANUFAIKA NA MIRADI KATIKA MAENEO YAO- KAPINGA

msumbanews.co.tz - 10/Sep 04:08

 Naibu Waziri Nishati, Mhe.  Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément