Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata Kutimiza Majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa...
Vous n'êtes pas connecté
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,CPA Amos Makalla, amesema chama hicho hakipo tayari kusimamisha wagombea wa nafasi za uongozi wasiyokubalika na jamii.Makalla amesema hayo leo,Septemba 7,2024 kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Shirika vilivyopo eneo la Mto wa Mbu.Amesema, wapo viongozi ambao hawakubaliki katika jamii ikiwemo kutotatua kero za wananchi na kutosoma taarifa za mapato na matumizi.“Niwaombe ndugu zangu muendelee kukiamini chama cha mapinduzi na kukipa kura nyingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa na tunawaahidi kuwaletea wagombea wanaokubalika na wananchi na siyo mgombea mpaka umfafishe na dodoki sisi muda huo hatuna”,amesema Makalla.Pia amewataka wananchi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la makazi Octoba 12 hadi 20 mwaka huu tayari kwa ajili ya kupiga kura.“Tujitokeze kwa wingi ndani ya hizo siku 10 kwenda kujiandikisha kwenye daftari la makazi ili tuweze kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kitambulisho pekee katika ucbaguzi huu hakitoshi”, ameongeza.Aidha ameongeza kuwa,CCM kitahakikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa unafanyika kwa amani, utulivu na haki, huku akisema kuwa matokea ya uchaguzi yatatangazwa kwa uwazi na haki.“Mshindi atatangazwa kwa uwazi na atatangazwa atakaye kuwa na kura nyingi na si vinginevyo” amesema.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata Kutimiza Majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa...
Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo amewataka viongozi wa chama na serikali kuwa na mahusiano mazuri katika kazi zao.Akiongea na viongozi wa...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa amewataka wanachama wa Chama cha...
Na Mwandishi Wetu,Manyara .Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amejitokeza...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wananchi wa Kata za Mnyamani,Vingunguti na Buguruni kuwa Serikali inaendelea kuboresha...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wananchi wa Kata za Mnyamani,Vingunguti na Buguruni kuwa Serikali inaendelea kuboresha...
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Mahakama ya Rufaa Mbarouk Salim Mbarouk ,akizungumza leo Septemba 13,2024...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Mahakama ya Rufaa Mbarouk Salim Mbarouk ,akizungumza leo Septemba 13,2024...
MBUNGE wa Jimbo la Msalala, Mheshimiwa Iddi Kassim Iddi, amewataka wanawake wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Kijiji cha Kakola, Kata ya...