Na,Jusline Marco : Tanga.Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA kupitia timu zilizopo katika mamlaka hiyo imewasili mkoani Tanga kushiriki katika...
Vous n'êtes pas connecté
Na Editha Karlo,Kigoma TIMU nane za waendesha pikipiki (Bodaboda) zimeanza kupambana katika ligi maalum kwa ajili ya kuhamasisha masuala ya usalama barabarani na masuala ya afya ya uzazi huku Mshindi wa mashindano hayo akitarajia kuibuka na kitita cha shilingi milioni moja.Mkurugenzi wa kituo cha Radio cha Main FM ambao ndiyo waandaji wa mashindano hayo, Pascal Willian alisema kuwa mashindano hayo yameandaliwa kwa ushirikiano wa Radio hiyo, jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoa Kigoma na Hospitali ya rufaa ya mkoa Kigoma Maweni na kubainisha kuwa mashindano hayo pia yatatumika kuhamasisha masuala ya uwekezaji.Mashindano kipenga cha mashindano hayo kimepulizwa na Mkuu wa wilaya Kigoma,Dk.Rashid Chuachua ambaye aliwakilishwa na Afisa Tawala wa wilaya Kigoma Dola Buzaire ambaye alisema kuwa mashindano hayo yana maana kubwa katika kuhimiza usalama barabarani lakini pia kuhimiza suala la watu kufanya mazoezi na kushiriki michezo.Katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo yanayofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Kawawa Ujiji mjini Kigoma timu ya kombaini ya Bodaboda Mlole imeifunga Kombaini ya bodaboda ya Bangwe kwa jumla ya Magoli 5 – 1.Akizungumza katika ufunguzi wa mashindano hayo Mwakilishi wa kampuni ya gesi ya kupikia ya Oryx, Gibson Rodgers alisema kuwa kampuni hiyo itakuwa ikitoa mtungi mdogo wa gesi kwa kila mchezo kwa mchezo bora wa mechi ikiwa ni sehemu ya udhamini wao wa mshindano hayo kuchochea vijaana kujituma Zaidi uwanjani.
Na,Jusline Marco : Tanga.Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA kupitia timu zilizopo katika mamlaka hiyo imewasili mkoani Tanga kushiriki katika...
Na,Jusline Marco : Tanga.Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA kupitia timu zilizopo katika mamlaka hiyo imewasili mkoani Tanga kushiriki katika...
NA ANDREW CHALE.MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na...
Wakala wa Huduma ya Misitu Tanzania TFS imeandaa bonanza la michezo kwa lengo la kuwakutanisha watumishi mbalimbali kutoka katika kanda zote nane...
Na : Imma Msumba , LongidoMkuu wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha, Salumu Hassan Kalli amewataka wanamichezo katika Wilaya hiyo kumuunga mkono Naibu...
Na : Imma Msumba , LongidoMkuu wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha, Salumu Hassan Kalli amewataka wanamichezo katika Wilaya hiyo kumuunga mkono Naibu...
Imeelezwa kwamba Tanzania ipo mbioni kuanza uzalishaji wa madini ya Niobium ambayo ni moja ya madini adimu yanayotumika katika mitambo mbalimbali...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha...
Na Gideon Gregory, Dodoma.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
Na. Joseph Mahumi, WF, Dar es SalaamTanzania imeishukuru Umoja wa Ulaya (EU) kwa kuendelea kuwa miongoni mwa washirika wakubwa wa kimkakati wa...