X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - Hier 17:04

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

 Naibu Waziri Nishati,  Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia utakaowafanya watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034.Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Septemba 19, 2024 katika Kongamano la wanawake na mabinti mkoani Geita lenye lililokuwa na lengo la kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia,  kujadili mada mbalimbali ikiwemo mwanamke na maendeleo."Tunahamasisha matumizi ya nishati safi ya ili kulinda afya za watanzania,  kuboresha uchumi na kutunza mazingira ambayo yamekuwa yakiharibiwa kutokana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia" Amesisitiza Mhe. Kapinga. Ameongeza kuwa ili kurahisisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Serikali imetoa ruzuku kwenye mitungi ya gesi ambapo kwa mwaka jana ilitoa mitungi laki moja na elfu nne na mwaka huu wa fedha Serikali inategemea kutoa mitungi laki nne.Aidha, Serikali kuendelea kuhakikisha Taasisi zenye watu zaidi ya 100 zinaendelea kubadilishana mfumo na kutumia gesi.Mhe. Kapinga ameongeza kuwa nishati safi za kupikia zipo za aina nyingi ikiwemo gesi, majiko banifu, umeme, majiko ya ethanol na majiko mengine yaliyoboreshwa na kuwa ya nishati safi.Ametoa rai kwa Watanzania kubadilisha fikra kuwa mapishi ya nishati safi ni gharama na kusisitiza kuwa majiko ya siku hizi yameboreshwa hayatumii umeme mwingi.Aidha, Serikali inaendelea majadiliano na wadau ili wananchi waweze kununua gesi kidogo kidogo ili kumwezesha mtanzania kununua gesi kulingana na kiasi cha fedha alichonacho."Kila mmoja analojukumu la kulinda mazingira kwa ajili ya mama Tanzania, nitoe rahi tuendelee kuhamasishana juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ", Alisema Mhe. Kapinga.

Articles similaires

REA YAENDELEA KUTEKELEZA DHAMIRA YA RAIS SAMIA KWA VITENDO

msumbanews.co.tz - 09/Sep 07:03

Na Mohamed SaifWakala wa Nishati Vijijini (REA) umeanza kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan la...

SERIKALI KUVUTIA WAWEKEZAJI UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI- DKT. BITEKO

msumbanews.co.tz - 10/Sep 16:13

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na...

DKT. NCHEMBA ATOA WITO KWA NCHI ZA AFRIKA KUHIMIZA MATUMIZA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

msumbanews.co.tz - 18:24

 Na. Benny MwaipajaWaziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ((Mb), ametoa wito kwa nchi za Afrika kutafuta njia na mikakati ya kuboresha...

DKT. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 13:54

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi,...

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

msumbanews.co.tz - 17/Sep 05:17

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza zaidi...

REA YATUMIA ZAIDI YA BIL. 100 KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KIGOMA

msumbanews.co.tz - 06:18

Katika kuendelea kuboresha maisha ya wananchi Vijijini, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kutekeleza miradi ya...

REA YATUMIA ZAIDI YA BIL. 100 KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KIGOMA

msumbanews.co.tz - 06:19

 Katika kuendelea kuboresha maisha ya wananchi Vijijini, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kutekeleza miradi ya...

JKT YASAINI MKATABA NA REA KUWEZESHA MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

msumbanews.co.tz - 14/Sep 05:42

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy,...

DKT. BITEKO AAGIZA KIGOMA KUINGIZWA KWENYE GRIDI KABLA YA 2025

msumbanews.co.tz - 16:02

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi...

AIRTEL TANZANIA YAENDELEA KUPANUA WIGO VIJIJINI

msumbanews.co.tz - 06:15

Kampuni ya simu za mkononi Airtel kupitia kwa Mkurugenzi wa Biashara Joseph Muhele amesema kuwa mtandao huo mwaka huu 2024 unaendelea kufangua...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément