X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - Hier 10:06

WAZIRI JAFO ATAKA WANANCHI KUACHA KUCHANGANYA MAZAO

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakitembelea na kukagua Ghala la Mpako linalotumia Mfumo wa Stakabadhi liilopo Wilaya ya Liwale ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Maalum katika Mkoa wa Lindi kwa lengo kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Kata ya Kichonda Wilaya ya Liwale wakati wa ziara Maalum wilayani humo yenye lengo la kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mara baada ya kukagua ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Kata ya Kichonda Wilaya ya Liwale wakati wa ziara Maalum wilayani humo yenye lengo la kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa na Viongozi pamoja na Mbunge wa Jimbo la Liwale akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Ngorongopa, Wilaya ya Liwale wakati wa ziara Maalum wilayani humo yenye lengo la kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Ngorongopa, Wilaya ya Liwale wakati wa ziara Maalum wilayani humo yenye lengo la kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Liwale katika Mkutano wa Hadhara wenye lengo la kusikiliza changamoto zao ikiwa ni mwendelezo wa ziara Maalum Mkoani Lindi kwa lengo la kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo ,akizungumza na walimu na wanafunzi mara baada ya kuzindua jengo la vyumba 3 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo katika shule ya Msingi Luiza Mlelwa iliyopo Wilaya ya Liwale wakati wa ziara yake Maalum Mkoani Lindi yenye lengo kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone Na.Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Selemani Jafo ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuchanganya mazao ili kutokuharibu au kupunguza thamani ya mazao hayo katika soko la kimataifa na kuharibu taswira ya Tanzania. Dkt.Jafo ameyasem ahayo mara baada ya kutembelea Ghala la Mpako linalotumia Mfumo wa Stakabadhi ghalani wakati wa ziara yake maalum Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na kuongea na Wananchi wa Maeneo hayo ikiongozwa na Kauli Mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone". Aidha ameliagizza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendelea kusimamia na kufuatilia ubora wa Mazao hayo yanayohifadhiwa na kuuzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi Ghalani na Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mizani zote nchini zinapima mazao kwa usahihi "Nimeridhika na ujenzi wa ghala hili niwaombe sana watanzania muache kuchanganya mazao ndugu zangu hivyo naiagiza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) ndani ya siku 20 kukaa kikao na Bodi ya Korosho ili kufanya tathimini ya siku ngapi zinafaa kutoa korosho gharani huku wakifanya utafiti wa kina kuhusu suala la unyaufu katika zao la Korosho ili kuhakikisha wananchi wanafaidika na mazao yao ya kilimo."amesema Dkt.Jafo Aidha, katika ziara yake Wilayani humo amebainisha kuwa fedha zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita kwa ajili ujenzi shule za sekondari na zahanati imetumika vizuri na miradi hiyo imejengwa katika kiwango kinachohitajika na amewataka Watoto wa shule hizo kusoma kwa bidii ili wawe viongozi wa siku zijazo. Waziri Jafo alikagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Kata ya Kichonda, pamoja na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Ngorongopa, jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Bweni la Watoto Maalum katika shule ya Msingi Kambarage na alizindua jengo la vyumba 3 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo katika shule ya Msingi Luiza Mlelwa. Akiongea na Wananchi wa Liwale Dkt Jafo amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendele kutatua changamoto mbalimbali walizonazo ikiwemo kuweka mindominu wezesheshi ya barabara , maji na umeme ili luhakikisha uchumi wa nchi hii inaongea na kukuza uchuma Naye Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mhe Goodluck Mlinga ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo na kuahidi kuwa Wilaya yake itaendelea kusimamia Miradi hiyo kikamilifu na kuwataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutumia fursa za miradi hiyo ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya Wilaya hiyo na Taifa kwa ujumla. Wananchi na watoto wa lowale wanapata huduma stahiki wamepokea vifaa vya kisaaa Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Bw. Asangye Bangu alibaimisha kuwa atatekeleza maelekezo yaliyotolewa na kuwataka Wananchi kuendelea kutumia Mfumo wa Stakabadhi Ghalani unaowawezesha wakulima kuuza mazao hayo kwa bei nzuri na kuwataka Wananchi hao kuweka ghalani mazao yenye ubora unaotakiwa.

Articles similaires

WAZIRI JAFO ATAKA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KILWA KUKAMILIKA KWA WAKATI

msumbanews.co.tz - 18/Sep 10:27

 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa na viongozi wakitembelea mradi wa bandari ya Uvuvi uliopo Kilwa Masoko wilayani Kilwa...

WAZIRI JAFO ATAKA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KILWA KUKAMILIKA KWA WAKATI

msumbanews.co.tz - 18/Sep 10:27

 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa na viongozi wakitembelea mradi wa bandari ya Uvuvi uliopo Kilwa Masoko wilayani Kilwa...

DKT.JAFO AAGIZA  MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KILWA KUKAMILIKA KWA WAKATI

msumbanews.co.tz - 18/Sep 08:28

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa na viongozi wakitembelea mradi wa bandari ya Uvuvi uliopo Kilwa Masoko wilayani Kilwa...

NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE

msumbanews.co.tz - 17/Sep 16:46

 Waziri wa Madini Anthony Mavunde amepiga marufuku biashara ya madini kufanyika majumbani kwa watu na kusisitiza kwamba hatua kali za kisheria...

DHAMIRA YA RAIS SAMIA NI KUONA WANANCHI WANANUFAIKA NA MIRADI KATIKA MAENEO YAO- KAPINGA

msumbanews.co.tz - 10/Sep 04:08

 Naibu Waziri Nishati, Mhe.  Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA MAABARA YA TAEC ZANZIBAR

msumbanews.co.tz - 10/Sep 20:13

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh. Dkt....

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

msumbanews.co.tz - 17/Sep 05:17

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza zaidi...

WMA NA TPA SIMAMIENI KIKAMILIFU FLOW METER YA UPIMAJI WA MAFUTA YANAYOINGIA NCHINI

msumbanews.co.tz - 11/Sep 04:44

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Abeid...

Dc Ilala awataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata kutimiza majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:19

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Edward Mpogolo amewataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata  Kutimiza Majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa...

RC TANGA AAGIZA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA HOMA YA NYANI.

msumbanews.co.tz - 10/Sep 09:42

 Na Denis Chambi, Tanga.MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani ameitaka Hospital ya rufaa ya mkoa  Bombo kuwa ya  mfano kwa kuchukua...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément