Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt James Andilile (aliyesimama) akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira za Wilaya na...
Vous n'êtes pas connecté
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kiongizwa na mwenyekiti wake Mhe Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazigira Tanga ,wakati wa kazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji mkoani hapo .Kamati hiyo imekagua chanzo cha maji cha Mabayani ambacho ni chanzo kikubwa kunacho hudumia jiji la Tanga na mtambo wa kutibu na kuzalisha maji wa MoweMwenyekiti wa Kamati Mhe Kiswaga (Mb) amesema lengo la ukaguzi huo ni kuona namna fedha zilizotolewa na serikali zinavyotumika katika kutekeleza miradi ya maji“Wananchi tuwape maji na utekelezaji wa mradi wa hatifungani uanze haraka ili kutimiza azma ya Rais ya Kumtua mama ndoo ya maji kichwani ” Mhe. Kiswaga amesema.Ameipongeza Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga .Tanga -UWASA kwa kazi wanayoifanya katika kuwapeleka huduma ya maji wananchi ili kuondosha tatizo la uhaba wa maji katika jiji la Tanga .Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) akiishukuru kamati amesema maji yatakayo zalishwa kupitia mradi wa hati fungani utaweza kuhudumia na maeneo ya jirani hivyo jukumu la Wizara ya Maji ni kusimamia kuanza kwa mradi huo ukamilike kwa wakati uliopangwa ili kuhakikisha azma ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi inatekelezeka.
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt James Andilile (aliyesimama) akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira za Wilaya na...
Mkurugenzi wa Gesi Asilia EWURA, Mha. Poline Msuya, akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini, kwa niaba ya...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema kukamilika kwa Miradi ya TACTIC mkoani...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote...
Na : Jusline Marco;ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia mwezi Oktoba mwaka huu upatikanaji wa...
Na Denis Chambi, Tanga.MKUU wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Buriani ameuwagiza Wakala wa Maji vijijini 'RUWASA' kuhakikisha wanasimamia...
Na WMJJWM-DodomaNaibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amewataka wadau wanaotoa elimu ya...
-AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI-REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINIWaziri wa Maji,...