X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 07/Nov 15:56

EWURA YAHAKIKI TAARIFA ZA MAMLAKA ZA MAJI 82 NCHINI

Mkurugenzi wa Gesi Asilia EWURA, Mha. Poline Msuya, akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, wakati wa kikao kazi cha kuhakiki taarifa za utendaji za mamlaka hizo kilichofanyika Ofisi za EWURA makao makuu jijini Dodoma. ........ Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefanikisha uhakiki wa taarifa za utendaji wa Mamlaka 82 za Maji na Usafi wa Mazingira nchini,ili kupata takwimu sahihi zitakazotumika kwenye Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2023/24. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Mha. Poline Msuya, akihitimisha kikao kazi cha watendaji wa mamlaka za maji, Novemba 6, jinini Dodoma, , amesema EWURA imehakiki takwimu hizo kupitia mfumo ulioboreshwa wa MajIS, ambao ni mahsusi kwa ajili ya kukusanya na kuhifadhi taarifa za utendaji wa mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira nchini. “Leo tumefanikisha zoezi hili kwa ufanisi na umakini mkubwa. Natoa rai kwa watendaji wote wa mamlaka za maji kujiridhisha na kuzitambua takwimu zote zilizowekwa kwenye mfumo,” alisema. Taarifa zilizohakikiwa ni za kiwango cha maji yanayozalishwa, hali ya ufungaji wa dira za maji, muda na hali ya upatikanaji wa huduma kwa kuzingatia wastani wa idadi ya maunganisho ya maji, takwimu za usafi wa mazingira na ubora wa maji, mahitaji ya maji, takwimu za makusanyo ya maduhuli na tathmini ya viashiria/maeneo vinavyosababisha upotevu wa maji. Mha. Wilfred Marko Gichogo, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, aliwasisitiza watendaji hao kuhakikisha kila wakati wanawasilisha takwimu kwenye mfumo kwa wakati na kwa usahihi. Watendaji kutoka Mamlaka za maji za mikoa, miradi ya kitaifa, wilaya na miji midogo pamoja na wawakilishi kutoka Wizara za Maji na Afya wameshiriki kikao kazi hicho kilichoandaliwa na EWURA, ili kuhakiki na kuthibitisha taarifa za utendaji wao kwa lengo la kuiwezesha Serikali kupata takwimu sahihi za utendaji wa sekta ya maji nchini. Mkurugenzi wa Gesi Asilia EWURA, Mha. Poline Msuya, akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, wakati wa kikao kazi cha kuhakiki taarifa za utendaji za mamlaka hizo kilichofanyika Ofisi za EWURA makao makuu jijini Dodoma. Wakurugenzi na Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini wakieendelea na zoezi la uhakiki wa taarifa za utendaji kupitia mfumo wa MaJIS wakati wa kikao kazi, Ofisi za EWURA makao makuu, jijini Dodoma, Novemba 6, 2024. Picha ya pamoja ya Wakurugenzi wa Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira wakati wa kikao kazi cha kuhakiki taarifa za utendaji kilichanyika katika Ofisi za EWURA Makao Makuu, jijini Dodoma. Walioketi, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu EWURA, Mha. Poline Msuya, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Maji na Usafi wa Mazingira EWURA, Mha. Genzabuke Madebo na kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mha. Wilfred Gichogo.

Articles similaires

EWURA YAZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUACHA KUPIKA TAKWIMU ZA HUDUMA

msumbanews.co.tz - 30/Oct 14:52

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt James Andilile (aliyesimama) akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira za Wilaya na...

REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:22

 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha...

NAIBU WAZIRI SANGU: e-GA NI TAASISI NYETI KWA USALAMA WA NCHI

msumbanews.co.tz - 07/Nov 09:36

  Na. Lusungu Helela Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema  Mamlaka ya Serikali...

TATHIMINI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA AFYA MSINGI KUFANYIKA KILA BAADA YA WIKI MBILI - Dkt. Magembe

msumbanews.co.tz - 13:31

 Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMINaibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe amewaelekeza watumishi wa Idara ya Afya, Ustawi...

TATHIMINI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA AFYA MSINGI KUFANYIKA KILA BAADA YA WIKI MBILI - Dkt. Magembe

msumbanews.co.tz - 13:31

 Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMINaibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe amewaelekeza watumishi wa Idara ya Afya, Ustawi...

UTPC YAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI MASLAHI YA WATUMISHI VYOMBO VYA HABARI.

msumbanews.co.tz - 02/Nov 15:20

 Chama cha Wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini(JOWUTA) kimetaka serikali kusimamia sheria za kazi kwa wafanyakazi katika vyombo vya habari...

WAFANYAKAZI TANESCO WATAKIWA KUJIUNGA NA TANESCO SACCOS KWA KUJIWEKEA AKIBA

msumbanews.co.tz - 06:05

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga akizungumza wakati kufungua Mkutano Mkuu wa 56 wa Chama cha ...

RUWASA Tanga yaagizwa kusimamia Wananchi kuanzisha vitalu vya miti.

msumbanews.co.tz - 01/Nov 10:58

Na Denis Chambi, Tanga.MKUU wa mkoa wa Tanga  Balozi Dkt. Batilda Buriani  ameuwagiza Wakala wa Maji vijijini 'RUWASA' kuhakikisha wanasimamia...

MAKAMANDA TFS WATAKIWA KUTUMIA TEHAMA KUBORESHA UTENDAJI KAZI

msumbanews.co.tz - 05/Nov 14:13

 Na Happiness Shayo- ArushaWaziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa...

Katibu Mkuu Luhemeja akizungumza na Watananzia COP29

msumbanews.co.tz - 09:54

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na Watanzania ambao wanashiriki Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Nchi...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément