X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 15/Sep 05:16

Wakazi wa Kata za Mnyamani, Buguruni na Vingunguti kuboreshewa huduma za kijamii

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wananchi wa Kata za Mnyamani,Vingunguti na Buguruni kuwa Serikali inaendelea kuboresha huduma za kijamii kwa Wakazi hao.Mhe. Mpogolo ameyabainisha hayo leo Septemba 14, 2024 kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Msikate Tamaa vilivyopo Vingunguti ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.Akizunguzumza katika Mkutano huo, Mhe. Mpogolo amewaeleza kuwa katika changamoto alizozibaini kwenye Kata za Mnyamani, Buguruni na Vingunguti ni pamoja na uchakavu wa miundombinu mbalimbali, mifereji ya maji taka pamoja na kutotengenezwa kwa bonde la Mto Msimbazi hivyo kuwahakikishia wananchi wa Kata hizo kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu na punde kituo cha afya vingunguti kitaanza kuboreshwa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri.“Halmashauri yetu imekua ikikusanya mapato mengi na pia tumepokea fedha nyingi kutoka Serikali Kuu kwaajili ya kuboresha huduma za Afya, Elimu na miundombinu, hivyo niwahakikishie hizi changamoto zote za huduma za kijamii zinaenda kuisha kabisa, kwani haiwezekani tukusanye mapato mengi lakini tuwe na hizi changamoto ambazo kama Halmashauri tunaweza kuzitatua.” amesema.Halikadhalika, amewataka Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutumia utaratibu maalumu wa kufanya mitihani wananfunzi na sio kila mara kudai ada za mitihani kwani wana waumiza wazazi wenye kipato cha chini huku akiwasisitiza wazazi kuwa wanafunzi kula chakula ni muhimu hivyo wahakikishe wanachangia ada ya chakula.Katika hatua nyingine, Mhe. Mpogolo amewataka wananchi wa Kata hizo kujiandikisha kwenye daftari la makazi kwaajili ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 Sambamba na Kauli mbiu isemayo "

Articles similaires

Wakazi wa Kata za Mnyamani, Buguruni na Vingunguti kuboreshewa huduma za kijamii

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:16

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wananchi wa Kata za Mnyamani,Vingunguti na Buguruni kuwa Serikali inaendelea kuboresha...

DC MPOGOLO ATANGAZA KIAMA KWA WASIORUDISHA FEDHA ZA HALMASHAURI

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:22

 MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elhuruma Mabelya, kuwasaka na kuwanasa wale wote...

DC MPOGOLO ATANGAZA KIAMA KWA WASIORUDISHA FEDHA ZA HALMASHAURI

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:22

 MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elhuruma Mabelya, kuwasaka na kuwanasa wale wote...

DC Mpogolo aendelea na ziara ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Jimbo la Ukonga

msumbanews.co.tz - 14/Sep 05:47

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo leo Septemba 12 ,2024 ameendelea na ziara ya kutatua kero za Wananchi wa Kata za Kitunda, Kivule, Mzinga...

Dc Ilala awataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata kutimiza majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:19

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Edward Mpogolo amewataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata  Kutimiza Majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa...

WAZEE TUNDURU WAOIMBA SERIKALI KUFUNGUA SOKO JIPYA LA MADINI YA VITO

msumbanews.co.tz - 12/Sep 07:54

Baadhi ya majengo katika soko jipya la madini ya vito yanayoendelea kujengwa na Halmashauri ya wilaya Tunduru kwa kushirikiana na wadau wa madini...

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

msumbanews.co.tz - 17/Sep 05:17

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza zaidi...

ASKARI UHIFADHI NGORONGORO WATAKIWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WANANCHI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 15:13

 Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya...

ASKARI UHIFADHI NGORONGORO WATAKIWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WANANCHI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 15:13

 Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya...

Dc Mpogolo awahakikishia Wakazi wa Mtaa wa Kipunguni kulipwa fidia zao

msumbanews.co.tz - 14/Sep 05:34

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wakazi wa Mtaa wa Kipunguni kata ya Kipawa waliopisha ujenzi wa uwanja wa Ndege wa...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément