X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 15/Sep 05:22

DC MPOGOLO ATANGAZA KIAMA KWA WASIORUDISHA FEDHA ZA HALMASHAURI

 MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elhuruma Mabelya, kuwasaka na kuwanasa wale wote waliokopa jumla ya Sh. bilioni 17 katika halmashauri hiyo na kushindwa kurejesha.Amesema fedha hizo ni zilizo kuwa zikitolewa kwa wajasiriamali kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu.Ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa kata za Mnyamani, Vingunguti na Buguruni.“Hizi sh.bilioni 17 halmashauri iliwakopesha watu lakini hawajarejesha mpaka sasa.Ziko katika mzunguko,”alisema.Amemtaka mkurugenzi huyo kuangalia utaratibu wa kuwatafuta na kuwapata wahusika na kuchukua hatua.

Articles similaires

DC MPOGOLO AWATAKA WABUNIFU NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUWA WAZALENDO

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:38

 Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ametoa wito kwa Wabunifu na Wakadiriaji majenzi nchini kuwa Wazalendo, Waadilifu na Wabunifu kwa Taifa katika...

DC MPOGOLO ATOA MAELEKEZO SIKU YA LISHE

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:31

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Lishe Duniani, ambayo kiwilaya yamefantika  katika viwanja vya Shule ya...

MADIWANI WAONGEZE KASI YA USIMAMIZI WA UKUSANYAJI WA MAPATO

msumbanews.co.tz - 04/Nov 05:05

 Na, Elizabeth Paulo; Dodoma Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Mh. Halima Okash ametoa Rai kwa Viongozi wa Halmashauri kusimamia sheria,...

REA YAFIKISHA UMEME KWA WANANCHI 2400 NJOMBE

msumbanews.co.tz - 31/Oct 09:15

 Imeelezwa kuwa, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umepeleka umeme kwa wananchi wapatao 2,400 wa vijiji nane (8) vya Tarafa ya Lupembe, Wilaya ya...

SERIKALI YAWASIHI WANANCHI KUTUMIA ELIMU YA FEDHA ILI KUKUZA UCHUMI

msumbanews.co.tz - 26/Oct 16:56

 Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Mbeya.Wakazi wa Jiji la Mbeya wametakiwa kutumia elimu waliyoipata katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma...

OUT YATOA MAFUNZO KUIMARISHA UFUATILIAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI SERIKALINI

msumbanews.co.tz - 27/Oct 08:36

Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yanayoendeshwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa pamoja tawala za...

REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:22

 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha...

DKT. MANGURUWE APANDISHWA KIZIMBANI KWA UPATU AKOSA DHAMANA

msumbanews.co.tz - 06/Nov 07:05

 MKURUGENZI Mwanzilishi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la  Dkt. Manguruwe  na mwenzake wamefikishwa...

CHANDE ASHAURI MABENKI KUTANUA WIGO WA MASOKO NJE YA NCHI

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:25

 Na. Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ameitaka Akiba Commercial Bank Plc (ACB)...

Benki ya CRDB Yatunukiwa Tuzo za 'Benki Bora' na 'Benki Salama' Tanzania na Jarida la Global Finance

msumbanews.co.tz - 28/Oct 05:58

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akipokea tuzo ya 'Benki Bora Tanzania' kutoka kwa Joseph Giarraputo, Mwanzilishi...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément