Na Chedaiwe Msuya, WF, MwangaVikundi vya Kijamii na Huduma Ndogo za Fedha katika Kata ya Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, vimetakiwa...
Vous n'êtes pas connecté
Na. Eva Ngowi - KilimanjaroSerikali imewashauri wananchi kusajili vikundi vyao vya huduma ndogo za fedha kupitia mfumo wa Wezesha Portal ambayo ni njia rahisi na haina gharama yoyote.Ushauri huo umetolewa na, Afisa Usimamizi Fedha Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Jackson Mshumba wakati akitoa Elimu ya Huduma Ndogo za Fedha katika Kata ya Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.Alisema kuwa Wezesha Portal ni jukwaa la dijitali lililoundwa kusaidia wajasiriamali na wafanyabiashara katika kukuza biashara zao, kupata mafunzo, na kupata rasilimali zingine za kuwasaidia kibiashara na inaokoa muda.Aidha, Bw. Mshumba alisema kuwa kabla ya kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha ni vyema wananchi wanaotaka kuanzisha vikundi hivyo wakajiridhisha kuhusu wanachama wao wanaotaka kujiunga nao ili kuepukana na lawama na baadhi ya wajumbe kukimbia familia zao kutokana na madeni.“Kabla ya kujiunga kwenye kikundi kitu cha kwanza lazima wawe wanatoka eneo moja ili kurahisisha utambuzi katika Serikali za Mitaa, pili, lazima waaminiane, tatu, wawe na lengo moja lililosababisha wao waamue kuanzisha kikundi. “Alisema Bw. Mshumba.
Na Chedaiwe Msuya, WF, MwangaVikundi vya Kijamii na Huduma Ndogo za Fedha katika Kata ya Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, vimetakiwa...
Na. Eva Ngowi, WF, KILIMANJAROSerikali imewaasa wananchi kuepuka kukopa fedha kwenye Taasisi ama vikundi vinavyotoa huduma za kifedha bila...
Na Chedaiwe Msuya, WF, SameWananchi wa Kata ya Kihurio, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuhakikisha wanatumia huduma za Taasisi za...
Na. Eva Ngowi, WF, KILIMANJAROSerikali imetoa rai kwa Wananchi kuwekeza fedha zao sehemu sahihi na salama badala ya kuwekeza fedha mahali ambapo...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo (Mb), amezindua rasmi Jengo la Hazina Mkoa wa Geita kwa...
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa majaliwa akizindua kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya mama Samia mkoani...
Na Oscar Assenga, HANDENI. RAIS Dkt Samia Suluhu amemuagiza Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa kuhakikisha wanapeleka kiasi cha Milioni 240 kwa...
NNaibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara (UVCCM), Mussa Mwakitinya amesema ushindi kwa Chama cha Mapinduzi sio ombi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dk Peter Kisenge amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha huduma...
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili...