X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 06/Sep 04:54

Waziri Bashungwa ataka Wahandisi kulinda thamani yao

 Waziri wa Ujenzi,Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi kuwajibika katika majukumu pale wanapopatiwa mradi ili kulinda thamani yao. Akizungumza katika Jukwaa la Wahandisi katika ukumbi wa Mlimani City Waziri Bashungwa  amesema Wahandisi ni muhimu katika maendeleo kushindwa kuwajibika  katika majukumu yao wanarudisha jitihada zinazofanywa na serikali.Amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa fursa ya ujenzi wa miradi ambapo wazawa wamepewa kipaumbele.Waziri Bashungwa alikemea kwa  tabia ya baadhi ya Wahandisi  ambao, mara baada ya kusaini mikataba na kupokea malipo ya awali hukwepa majukumu yao. “Kuna wimbi la Wahandisi  ambao baada ya kupata (Advance Payment) , wanaanza kusumbua na kushindwa kutimiza ahadi zao,”amesema Bashungwa.Bashungwa ameitaka bodi ya Usajili Wahandisi (ERB) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi ,,(CRB) lazima zisimamie kwa makini tabia na utendaji wake kwa watu hao  ili kuepusha ubabaishaji unaoleta hasara kubwa kwa taifa.Katibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhandisi Zena Said amewataka  wahandisi wenzake kutendea haki viapo vyao vya taaluma.“Wahandisi lazima wawe waadilifu, wafuate uzalendo na kufanya kazi kwa umakini ili kuleta maendeleo ya kweli,”Amesema kuwa  dhamira yake ya kuona wahandisi wanakuwa sehemu ya suluhisho na si tatizo ambapo watakuwa wameisaidia Serikali na maendeleo yakapatikana kutokana na mchango wao.Msajili wa Bodi ya Usajili Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Bernard Kavishe, amesema mipango ya bodi ni kuimarisha sekta Wahandisi nchini.  “Tumeendelea na mpango wetu wa STEM wa  kuhamasisha wanafunzi wa Shule za Sekondari kusoma  masomo ya sayansi ili kuongeza nguvu kazi.Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu ya kuvutia, “Kuweka Nguvu Kazi ya Uhandisi kwa Enzi  ya Akili Mnemba  ya  ya  umuhimu wa kutumia akili, maarifa, na teknolojia ili kufanikisha miradi yenye ufanisi na uboraWaziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa akizungumza katika mkutano wa mwaka wa Wahandisi uliofanyika jijini Dar es Salaam.Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi  Bernard Kavishe mkutano wa mwaka wa Wahandisi, jijini Dar es Salaam.Baadhi ya matukio katika picha katika mkutano wa mwaka kwa Wahandisi, jijini Dar es Salaam.

Articles similaires

SHULE 26 ZAJENGWA NCHINI KUONGEZA MKAZO MASOMO YA SAYANSI KWA WASICHANA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 11:21

Serikali imeongeza mkazo katika masomo ya Sayansi ikiwa ni pamoja na kujenga shule 26 za wasichana zinazotoa masomo ya Sayansi.Hayo yamesemwa na...

WAZIRI JAFO ATAKA WANANCHI KUACHA KUCHANGANYA MAZAO

msumbanews.co.tz - 10:06

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakitembelea na kukagua Ghala la Mpako...

TANZANIA YAWEKEZA KIMKAKATI KATIKA SEKTA YA TEHAMA ILI KUKUZA UCHUMI WA KIDIJITALI

msumbanews.co.tz - 08:01

Tanzania ina mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya kasi inawafikia...

PROF. MKUMBO; SERIKALI HAITAKUWA KIKWAZO KWA AZAKI

msumbanews.co.tz - 10/Sep 04:38

 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa ,Kitila Mkumbo akizngumza wakati akifungua Wiki ya AZAKI iliyoanza rasmi leo Septemba 9-13, 2024 Jijini...

WAZIRI MAHUNDI AITAKA UCSAF KUTANGAZA SHUGHULI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI

msumbanews.co.tz - 11/Sep 05:11

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), amewataka viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano...

WAZIRI RIDHIWANI AIPONGEZA LESCO

msumbanews.co.tz - 07/Sep 07:31

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amepongeza LESCO kwa kuendelea kusimamia haki na...

UGONJWA WA FMD WAJADILIWA KUTOVUKA MIPAKA YA NCHI ZA EAC NA SADC

msumbanews.co.tz - 10/Sep 17:36

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Abdul Mhinte akizungumza jijini Dar es Salaam, wakati akifungua mkutano wa wataalamu kutoka...

DKT. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 13:54

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi,...

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 08:08

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba...

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 08:08

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément