Na. Saidina Msangi, Kibaha, Pwani.Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wadau na Taasisi zilizo chini yake imejipanga kutoa elimu ya fedha kwa...
Vous n'êtes pas connecté
Na. Saidina Msangi, Mkuranga Pwani.Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, imewasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi itakayo wawezesha kuepukana na mikopo umiza pamoja na kujifunza kuhusu, usimamizi wa fedha binafsi, bima, mikopo, dhamana na uwekezaji.Hiyo itakuwa awamu ya mwisho ya mfululizo wa programu ya elimu ya fedha kwa umma inayotekelezwa na Wizara ya Fedha ambapo mikoa 13 imefikiwa na kupatiwa elimu hiyo hadi sasa huku Mikoa mingine ikitarajiwa kufikiwa hapo baadae.Timu hiyo imekutana na wananchi na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga na kuwapatia elimu ya fedha ambapo walitoa rai kwa Wizara kuona namna ya kutoa elimu hiyo kwa viongozi ili wawe na uelewa wa pamoja katika kuhudumia wananchi.Aidha, Timu ilitoa elimu kwa wananchi wa Kijiji cha Mlamleni Kata ya Tambani, Mkuranga na Vikindu ambapo wananchi hao kwa pamoja waliipongeza Wizara kwa jitihada ya kuwafikishia elimu ya fedha na kuomba elimu hiyo itolewe mara kwa mara ili kuweza kuwafikia wananchi wengi zaidi ili kuwa na uchumi jumuishi.
Na. Saidina Msangi, Kibaha, Pwani.Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wadau na Taasisi zilizo chini yake imejipanga kutoa elimu ya fedha kwa...
Na Mwamvua Mwinyi,KibahaWIZARA ya fedha imetoa rai kwa Watanzania hususan makundi ya akinamama na wajasiriamali kujiepusha na mikopo ya...
Na. Saidina Msangi, Chalinze, Pwani.Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia elimu ya fedha...
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Michael Ng’umbi akitoa maelezo ya utekelezaji wa Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya...
Na. Saidina Msangi, WF, Bagamoyo, Pwani.Watumishi na wananchi wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wameishukuru Serikali kwa kuwapa mafunzo ya elimu...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo leo Septemba 12 ,2024 ameendelea na ziara ya kutatua kero za Wananchi wa Kata za Kitunda, Kivule, Mzinga...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia zoezi la ubainishaji wa...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia zoezi la ubainishaji wa...
Na Chedaiwe Msuya,WFWizara ya Fedha imehitimisha utoaji wa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi kwa Umma katika mikoa ya Mtwara, Lindi na...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Alban Kihulla akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari katikq Mkutano mwendelezo ya Mikutano...