X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 18/Sep 07:25

KAPINGA AFUNGUA KIKAO KAZI TPDC

 Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga leo Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Jijini Mwanza.Lengo la kikao hicho ni kujitathmini, kujipanga na kukumbushana masuala mbalimbali ya Taasisi, ikiwemo maelekezo mbalimbali ya Serikali ya uendeshaji wa kampuni.Amewasisitize na kuwakumbusha umuhimu wa kufanya kazi kwa umoja, ubunifu, weledi na upendo baina ya uongozi wa TPDC na  wafanyakazi." Wizara ipo pamoja nanyi kuhakikisha azma na malengo makuu ya Serikali kwa TPDC yanafikiwa na zaidi", Amesisitiza Mhe. Kapinga. Aidha, amewakumbusha kuendelea kuyapa mkazo masuala yanayohusu wafanyakazi kwani ndio  kiungo muhimu cha kufanikiwa kwa mipango na malengo mbalimbali ya TPDC."Ni vema masuala yanayohusu motisha zao ikiwemo mishahara kuhuishwa inapobidi na kuboreshwa kama hali ya kifedha inaruhusu", Amesema Mhe. Kapinga.Ameongeza kuwa itasaidia kuwapa morali ya kuendelea kufanya kazi TPDC na kuvutia pia wafanyakazi wazuri sokoni.Ametaka changamoto za wafanyakazi kukaimu nafasi za uongozi muda mrefu bila kuthibitishwa na changamoto za kupandishwa madaraja na nyinginezo zifanyiwe kazi ili kupunguza malalamiko kwa wafanyakazi.

Articles similaires

PROF. SILAYO AWAPONGEZA WATUMISHI WA TFS KWA KUENDELEA KUKUZA VIPAJI

msumbanews.co.tz - 04/Nov 03:18

Wakala wa Huduma ya Misitu Tanzania TFS imeandaa bonanza la michezo kwa lengo la kuwakutanisha watumishi mbalimbali kutoka katika kanda zote nane...

SERIKALI ITAENDELEA KUWATUMIA WATAFITI NCHINI

msumbanews.co.tz - 07/Nov 16:47

 Na : Jusline Marco : ArushaWaziri wa nchi,ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawane amesema serikali ya...

MAKAMANDA TFS WATAKIWA KUTUMIA TEHAMA KUBORESHA UTENDAJI KAZI

msumbanews.co.tz - 05/Nov 14:13

 Na Happiness Shayo- ArushaWaziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa...

AICC NI MUHIMILI WA SEKTA YA UTALII NCHINI

msumbanews.co.tz - 01/Nov 09:36

 Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kimeelezwa kuwa ni moja ya muhimili muhimu katika kufanikisha agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan...

SERIKALI YAFIKIA ASILIMIA 85 KATIKA UPATIKANAJI WA DAWA

msumbanews.co.tz - 31/Oct 08:32

 Na : Jusline Marco;ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia mwezi Oktoba mwaka huu upatikanaji wa...

NAIBU WAZIRI SANGU: e-GA NI TAASISI NYETI KWA USALAMA WA NCHI

msumbanews.co.tz - 07/Nov 09:36

  Na. Lusungu Helela Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema  Mamlaka ya Serikali...

RAIS SAMIA ANATARAJIWA KUZINDUA MFUMO WA MIKOPO WENYE THAMANI YA BILIONI 2.3..

msumbanews.co.tz - 07/Nov 04:30

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua rasmi mfuko wa mikopo wenye kianzio cha shilingi bilioni 2.3...

SERIKALI INAENDELEA KUTEKELEZA MRADI WA KUPELEKA UMEME WA GRIDI MTWARA NA LINDI- MHE.KAPINGA

msumbanews.co.tz - 04/Nov 10:54

 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na  umeme wa gridi kutokea...

CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WA UMMA ZITATULIWE ILI KUKUZA SEKTA YA UMMA KIUCHUMI NA KIJAMII

msumbanews.co.tz - 05/Nov 09:20

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa neno la utangulizi kabla ya...

MADIWANI WAONGEZE KASI YA USIMAMIZI WA UKUSANYAJI WA MAPATO

msumbanews.co.tz - 04/Nov 05:05

 Na, Elizabeth Paulo; Dodoma Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Mh. Halima Okash ametoa Rai kwa Viongozi wa Halmashauri kusimamia sheria,...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément