X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 18/Sep 13:55

WAZIRI MCHENGERWA ATAKA UDHIBITI WA MPOX - MIPAKANI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa ya pembezoni mwa nchi na mipakani kuimarisha zaidi ulinzi na usalama wa mipaka ili kujilinda na Homa ya nyani ‘Mpox’ kuweza kuingia nchini.Mhe. Mchengerwa ametoa maagizo hayo leo Jumatano Septemba 18, 2024 wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani Longido mkoani Arusha akitahadharisha kuchukua hatua na kwa Wilaya na Mikoa itakayozembea na kusababisha ugonjwa huo kuingia nchini Tanzania viongozi wake watachukuliwa hatua.“Ugonjwa huu hauko mbali,upo jirani tu kwahiyo msingi huu wa kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu itatusaidia kutambua yule anayeingia lazima afanyiwe uchunguzi wa kiafya kwa mujibu wa namna taratibu za wizara ya afya walivyotupatia.” Amesema Mchengerwa.Imarisheni ulinzi katika mipaka yetu ili kudhibiti ugonjwa wa Mpox, kila mgeni lazima apimwe asije kuingiza ugonjwa Tanzania hasa kipindi hiki ambacho tunaelelea kwenye Uchaguzi, na anatakayepelekea ugonjwa huu kuingia nchini kwa uzembe ntamchukulia hatua alisisitiza Mhe. Mchengerwa!

Articles similaires

MIRADI YA TACTIC KUIMARISHA MAZINGIRA YA UFANYAJI WA BIASHARA NCHINI- MHE. KATIMBA.

msumbanews.co.tz - 02/Nov 16:02

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema kukamilika kwa Miradi ya TACTIC mkoani...

JKCI, MOI NA MNH zaitwa Comoro kwenda kutoa huduma za matibabu ya kibingwa

msumbanews.co.tz - 05/Nov 10:24

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam 04/11/2024 Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Watu wa Comoro Mhe. Yousoufa Mohamed Ali ameziomba Taasisi ya...

Wagonjwa wa moyo kutoka Malawi kutibiwa JKCI

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:38

 Serikali ya Jamhuri ya Malawi imeahidi kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili wagonjwa wa moyo waliopo nchini humo hasa watoto...

MAJUKWAA YA DINI YATUMIKE KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

msumbanews.co.tz - 27/Oct 05:24

 Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa rai kwa Viongozi wa Dini kote nchini, kutumia majukwaa yao kusaidia Serikali kutoa elimu sahihi ya...

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAELEKEZWA KUFANYA MSAWAZO WA WALIMU

msumbanews.co.tz - 07/Nov 09:37

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa...

NLD watoa wito kwa TAMISEMI kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa.

msumbanews.co.tz - 05/Nov 13:38

 Na Denis Chambi, Tanga.CHAMA cha National league for Democracy 'NLD' kimeitaka  Ofisi ya Rais tawala za mika na Serikali za mitaa 'TAMISEMI'...

WAZIRI JAFO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA COMESA NCHINI BURUNDI

msumbanews.co.tz - 31/Oct 14:49

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31 Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Wakuu wa...

SERIKALI YAFIKIA ASILIMIA 85 KATIKA UPATIKANAJI WA DAWA

msumbanews.co.tz - 31/Oct 08:32

 Na : Jusline Marco;ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia mwezi Oktoba mwaka huu upatikanaji wa...

SERIKALI ITAENDELEA KUWATUMIA WATAFITI NCHINI

msumbanews.co.tz - 07/Nov 16:47

 Na : Jusline Marco : ArushaWaziri wa nchi,ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawane amesema serikali ya...

RAIS SAMIA ANATARAJIWA KUZINDUA MFUMO WA MIKOPO WENYE THAMANI YA BILIONI 2.3..

msumbanews.co.tz - 07/Nov 04:30

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua rasmi mfuko wa mikopo wenye kianzio cha shilingi bilioni 2.3...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément