X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 11/Nov 10:00

PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI

 NA EMMANUEL MBATILOKITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo kuhusu majukumu ya PPPC yamefanyika leo Novemba 11, 2024 katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam.Katika mambo ambayo yamejadiliwa ni pamoja umuhimu wa kutumia PPP katika utekelezaji wa Mipango ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa program ya PPP Tanzania.Mambo mengine ambayo yamejadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya Miradi ya PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Articles similaires

PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI

msumbanews.co.tz - 11/Nov 10:00

 NA EMMANUEL MBATILOKITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa...

SERIKALI YAFIKIA ASILIMIA 85 KATIKA UPATIKANAJI WA DAWA

msumbanews.co.tz - 31/Oct 08:32

 Na : Jusline Marco;ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia mwezi Oktoba mwaka huu upatikanaji wa...

WATAALAM WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YA KABONI

msumbanews.co.tz - 31/Oct 08:13

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMINaibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Bw. Sospeter Mtwale amesema, Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeandaa mafunzo ya...

NAIBU WAZIRI MWANAIDI AWATAKA WADAU KUJIKITA VIJIJINI, ELIMU YA KUPINGA UKATILI

msumbanews.co.tz - 01/Nov 08:24

  Na WMJJWM-DodomaNaibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amewataka wadau wanaotoa elimu ya...

TATHIMINI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA AFYA MSINGI KUFANYIKA KILA BAADA YA WIKI MBILI - Dkt. Magembe

msumbanews.co.tz - 11/Nov 13:31

 Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMINaibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe amewaelekeza watumishi wa Idara ya Afya, Ustawi...

TATHIMINI YA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA AFYA MSINGI KUFANYIKA KILA BAADA YA WIKI MBILI - Dkt. Magembe

msumbanews.co.tz - 11/Nov 13:31

 Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMINaibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe amewaelekeza watumishi wa Idara ya Afya, Ustawi...

WALIMU WAKUU 17,793 WANOLEWA KUSIMAMIA SHULE KWA UFANISI

msumbanews.co.tz - 07/Nov 05:54

Serikali kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) imewezesha mafunzo Walimu Wakuu 17,793 katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara kuhusu...

BUNGE LARIDHIKA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MISITU NA NYUKI

msumbanews.co.tz - 12/Nov 12:47

 Na John MapepeleKamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili  na Utalii imeridhika na miradi mbalimbali  ya misitu na nyuki  inayotekelezwa  na...

TGNP YATOA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA

msumbanews.co.tz - 02/Nov 14:38

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), wameendesha mafunzo kwa viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kutoka mikoa  ya Kilimanjaro, Manyara, Dodoma,...

MIRADI YA TACTIC KUIMARISHA MAZINGIRA YA UFANYAJI WA BIASHARA NCHINI- MHE. KATIMBA.

msumbanews.co.tz - 02/Nov 16:02

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema kukamilika kwa Miradi ya TACTIC mkoani...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément