X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 14/Feb 14:17

KAPINGA ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI WA KISEKTA ARUSHA

 📌 Tanzania,  Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika  Mashariki Machi 5 hadi 7 2025 Jijini, Dar es Salaam.Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Februari 14, 2025 amemuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwenye Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la kisekta la Nishati, Petroli na Madini la Jumuia ya Afrika Mashariki Jijini Arusha. Baraza la kisekta limekutana kujadili miradi ambayo inatekelezwa ambayo ni pamoja na mradi wa kufua umeme wa Nsongezi utakaotekelezwa na Nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda ambapo Mawaziri husika watasaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji wa Mradi huu. Aidha, Baraza hili linasimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika  Mashariki ambalo litafanyika tarehe 5 hadi 7 Machi 2025 Jijini, Dar es Salaam. Uenyeji wa Tanzania katika kongamano hilo unatokana na maamuzi ya mkutano wa 16 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta lililofanyika Mwezi Februari 2024  ambalo liliamua Tanzania kuwa Mwenyeji wa Kongamano hilo.

Articles similaires

EAC YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAANDALIZI YA KONGAMANO NA MAONESHO YA PETROLI

msumbanews.co.tz - 16/Feb 06:11

 • Tanzania, Rwanda na Uganda zakubaliana kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa Kufua Umeme Nsongezi wa 39MWMkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri...

PURA ENDELEENI KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SHUGHULI ZA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI- KAPINGA

msumbanews.co.tz - 19/Feb 05:37

 🎈🎈Ataka Duru ya Tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia kuwa na matokeo chanya🎈🎈Aipongeza PURA kuwashirikisha...

MSIGWA AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI USIMAMIZI MRADI WA JNHPP

msumbanews.co.tz - 17/Feb 04:55

 📌 Asema mradi umefikia asilimia 99.8📌 Awaasa watanzania kujivunia mradi wa Julius NyerereKatibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na...

BITEKO AMPONGEZA MWANAFUNZI ALIYEELEZEA MIRADI YA UMEME

msumbanews.co.tz - 19/Feb 11:02

  Na Josephine Maxime- Dar es Salaam       Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle...

MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA IMEKUWA YA NEEMA JIJINI ARUSHA : GAMBO

msumbanews.co.tz - 19/Feb 10:38

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo, Leo Jumatano Februari 19, 2025 wakati akizungumza na na Wazee wa Wilaya ya Arusha amehimiza...

WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI - KAPINGA

msumbanews.co.tz - 24/Feb 05:16

 📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe....

TANZANIA KUHUDUMIA NCHI 14 NISHATI YA MAFUTA

msumbanews.co.tz - 17/Feb 16:50

Na Denis Chambi , Tanga.SERIKALI imeanza  mchakato wa uboreshaji wa miundombinu ya Bomba la Tazama  linalosafirisha mafuta kutoka Tanzania hadi...

DKT.BITEKO AIPONGEZA EWURA KULETA UTULIVU KWENYE NISHATI

msumbanews.co.tz - 17/Feb 15:54

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza wakati akifungua kikao cha nne cha Baraza la Pili la Wafanyakazi wa...

RIDHIWANI KIKWETE ASIFU UCHAPAKAZI WA RC MAKONDA, MAANDALIZI SIKU YA WANAWAKE YAKIENDELEA.

msumbanews.co.tz - 17/Feb 09:11

 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete, Mapema leo Jumatatu Februari 17, 2025 Jijini...

KOROGWE WAIPONGEZA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME

msumbanews.co.tz - 24/Feb 19:05

 📌 Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga📌Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umemeWananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément