• Tanzania, Rwanda na Uganda zakubaliana kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa Kufua Umeme Nsongezi wa 39MWMkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri...
Vous n'êtes pas connecté
📌 Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 5 hadi 7 2025 Jijini, Dar es Salaam.Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Februari 14, 2025 amemuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwenye Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la kisekta la Nishati, Petroli na Madini la Jumuia ya Afrika Mashariki Jijini Arusha. Baraza la kisekta limekutana kujadili miradi ambayo inatekelezwa ambayo ni pamoja na mradi wa kufua umeme wa Nsongezi utakaotekelezwa na Nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda ambapo Mawaziri husika watasaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji wa Mradi huu. Aidha, Baraza hili linasimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo litafanyika tarehe 5 hadi 7 Machi 2025 Jijini, Dar es Salaam. Uenyeji wa Tanzania katika kongamano hilo unatokana na maamuzi ya mkutano wa 16 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta lililofanyika Mwezi Februari 2024 ambalo liliamua Tanzania kuwa Mwenyeji wa Kongamano hilo.
• Tanzania, Rwanda na Uganda zakubaliana kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa Kufua Umeme Nsongezi wa 39MWMkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri...
🎈🎈Ataka Duru ya Tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia kuwa na matokeo chanya🎈🎈Aipongeza PURA kuwashirikisha...
📌 Asema mradi umefikia asilimia 99.8📌 Awaasa watanzania kujivunia mradi wa Julius NyerereKatibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na...
Na Josephine Maxime- Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo, Leo Jumatano Februari 19, 2025 wakati akizungumza na na Wazee wa Wilaya ya Arusha amehimiza...
📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe....
Na Denis Chambi , Tanga.SERIKALI imeanza mchakato wa uboreshaji wa miundombinu ya Bomba la Tazama linalosafirisha mafuta kutoka Tanzania hadi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza wakati akifungua kikao cha nne cha Baraza la Pili la Wafanyakazi wa...
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete, Mapema leo Jumatatu Februari 17, 2025 Jijini...
📌 Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga📌Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umemeWananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza...