X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 10/Sep 14:28

WAHIFADHI TFS-SHAMBA LA MITI SAOHILL WAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewapongeza wahifadhi Shamba la Miti la Miti Saohill kwa utekelezaji mzuri wa majukumu alipotembelea kuona shughuli zinazofanyika katika shamba hilo leo Septemba 10, 2024.Katika ziara hiyo, Mhe. Chana amepokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya uendelezaji wa shughuli za shamba kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Shamba PCO. Tebby Yoramu ikiwa ni uzalishaji wa miche, uvunaji wa miti na utomvu, ufugaji nyuki na utalii ikolojia.Kwa upande mwingine Waziri Chana amehimiza wahifadhi kuwa na ushirikiano baina yao na wananchi ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwa na maadili mema katika utendaji wao lakini pia kuwepo mfumo wa upatikanaji wa taarifa za maeneo yote ya shamba kwa ukaribu zaidi.Aidha, amewataka wahifadhi kuendeleza juhudi za kulinda misitu dhidi ya matukio ya moto ambayo yanayotokea hususani katika kipindi hiki cha kiangazi. "Licha ya kuwepo kwa changamoto ya moto katika maeneo ya hifadhi tunapaswa kutumia teknolojia za kisasa katika kupambana na matukio ya moto ikiwepo matumizi ya ndege zisizo na rubani (Drones) ili kurahisisha utambuzi wa matukio ya moto kwa haraka" amesema Waziri Chana.Pia amesisitiza kuwepo kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za misitu na nyuki katika maeneo ya hifadhi ili kuepusha migogoro inayotokana na uvamizi wa maeneo unaofanywa na wananchi katika hifadhi.Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Bw. Deusdedit Bwoyo amesema kuwa Wizara kupitia Idara ya Misitu na Nyuki itaendelea kuhakikisha kuwa inatoa ushirikiano ili kuhakikisha kunakuwa na utendaji mzuri zaidi na kushughulikia changamoto mbalimbali zinazokwamisha utakelezaji wa baadhi ya majukumu ya ki uhifadhi.

Articles similaires

ZOEZI LA KUHAMA KWA HIARI LIPO PALEPALE - WAZIRI CHANA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 05:54

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesisitiza kuwa zoezi la kuhama kwa hiari kwa wananchi wa Ngorongoro linaendelea...

ZOEZI LA KUHAMA KWA HIARI LIPO PALEPALE - WAZIRI CHANA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 05:54

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesisitiza kuwa zoezi la kuhama kwa hiari kwa wananchi wa Ngorongoro linaendelea...

HOSPITALI ZOTE NCHINI ANZENI KUTUMIA SIMU ZA UPEPO

msumbanews.co.tz - 14/Sep 05:11

 Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote nchini kuanzisha mfumo wa matumizi ya simu za upepo ili kupunguza matumizi ya siku za...

KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARURA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 08:04

Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu...

KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARURA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 08:04

Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu...

WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI"

msumbanews.co.tz - 06/Sep 17:20

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka  mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi...

WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI"

msumbanews.co.tz - 06/Sep 17:20

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka  mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi...

Waziri Bashungwa ataka Wahandisi kulinda thamani yao

msumbanews.co.tz - 06/Sep 04:54

 Waziri wa Ujenzi,Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi kuwajibika katika majukumu pale wanapopatiwa mradi ili kulinda thamani yao. Akizungumza...

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA MIRADI YA REGROW

msumbanews.co.tz - 08/Sep 05:38

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO ATOA WITO WA MABORESHO KATIKA USIMAMIZI WA MAZINGIRA

msumbanews.co.tz - 10/Sep 05:59

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément