X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 13/Sep 05:54

ZOEZI LA KUHAMA KWA HIARI LIPO PALEPALE - WAZIRI CHANA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesisitiza kuwa zoezi la kuhama kwa hiari kwa wananchi wa Ngorongoro linaendelea huku akisisitiza kwamba Serikali inafanya maboresho mbalimbali ili kurahisisha zoezi hilo.Ameyasema hayo Septemba 12, 2024 alipokuwa akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro katika Makao Makuu ya Ofisi za NCAA Wilayani Karatu Mkoani Arusha."Niseme tu kwamba zoezi la kuhama kwa hiari linaendelea  na maboresho yanaendelea na kuna maeneo ya Kitwai, Kilindi na sehemu nyingine ambazo watu wanapenda kwenda wanaenda kwa hiari " amesisitiza Mhe. Chana.Amewataka Askari Uhifadhi kusimamia vyema zoezi hilo ili kurahisisha utekelezaji wake.Aidha, amewataka kuendelea kufuata  maelekezo mbalimbali ya Serikali ikiwa ni pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi kama geti na vyoo vya wanafunzi.

Articles similaires

ZOEZI LA KUHAMA KWA HIARI LIPO PALEPALE - WAZIRI CHANA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 05:54

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesisitiza kuwa zoezi la kuhama kwa hiari kwa wananchi wa Ngorongoro linaendelea...

ASKARI UHIFADHI NGORONGORO WATAKIWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WANANCHI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 15:13

 Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya...

WANANCHI WENGINE 228 WAHAMA NGORONGORO

msumbanews.co.tz - 08/Sep 07:50

Katika muendelezo wa hamasa ya wananchi wa Ngorongoro kujiandikisha kuhama kwa hiari, leo tarehe 7 Septemba, 2024 jumla ya kaya 58 zenye wananchi 228...

WAHIFADHI TFS-SHAMBA LA MITI SAOHILL WAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

msumbanews.co.tz - 10/Sep 14:28

  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewapongeza wahifadhi Shamba la Miti la Miti Saohill kwa utekelezaji mzuri wa...

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA MIRADI YA REGROW

msumbanews.co.tz - 08/Sep 05:38

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI"

msumbanews.co.tz - 06/Sep 17:20

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka  mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi...

KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARURA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 08:04

Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément