X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 14/Sep 05:06

MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO WIZARA YA ELIMU ATEMBELEA MRADI WA EASTRIP, NIT

 KUPITIA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) inatekeleza mradi wa EASTRIP (East Africa Skills for Transformation and Regional Integration Project) ambao ujenzi wake uko mbioni kukamilika unadhamiria kuimarisha ustadi wa kiufundi na kitaaluma ili kuchochea maendeleo ya viwanda na mabadiliko ya uchumi katika nchi husika.Mradi wa EASTRIP ni mradi wa kikanda unaotekelezwa katika nchi za Tanzania, Ethiopia, na Kenya. Lengo kuu la mradi huu ni kuanzisha vituo vya umahiri katika maeneo ya ujuzi muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi ya mataifa hayo.Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 13, 2024 Jijini Dar es Salaam, mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea mradi wa EASTRIP katika Chuo hicho, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Sylvia Lupembe amesema mradi huo unahusisha ujenzi wa majengo matano, ambayo ni Majengo mawili ya mabweni ya wanafunzi (hostels); jengo ambalo litakuwa na madarasa pamoja na ofisi (center of excellence building), jengo litakalojumuisha karakana za mafunzo (high tech building), maabara (lab workshops), kituo cha mafunzo kwa ndege (aircraft simulator) na maabara nane za kompyuta."Majengo haya yatasaidia kuimarisha uwezo wa Chuo cha Usafirishaji katika kutoa mafunzo ya kiwango cha juu kwa wataalamu wa usafirishaji na teknolojia zinazohusiana na sekta hiyo". Amesema Sylvia.Aidha Sylvia amesema Wizara imejidhatiti kuongeza ubora wa elimu kwa kuhakikisha kuwa vijana wanaozalishwa wanakuwa na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira na vilevile unaoendana na mabadiliko ya kiteknolojia

Articles similaires

Kamati ya Bunge Yaipongeza UDSM kwa Maboresho ya Mitaala na Utekelezaji wa Mradi wa HEET

msumbanews.co.tz - 11/Sep 04:51

 KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza juhudi za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kuboresha mitaala yake ili kukidhi...

HAKIELIMU YAZINDUA MRADI WA MAJARIBIO KUWEZESHA WALIMU KUFUNDISHA KWA VITENDO

msumbanews.co.tz - 13/Sep 05:26

 Shirika la HakiElimu Tanzania limezindua mradi wa majaribio ambao umelenga kukuza ufundishaji wa walimu,kupitia teknolojia ambayo itamwezesha...

𝗖𝗖𝗠 MERU 𝗪𝗔𝗞𝗢𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗨𝗡𝗗𝗢𝗠𝗕𝗜𝗡𝗨 YA 𝗖𝗛𝗨𝗢 𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗔𝗟𝗨𝗠 𝗣𝗔𝗧𝗔𝗡𝗗𝗜

msumbanews.co.tz - 17:20

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arumeru Bw. Kennedy Mpumilwa ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...

Kamati ya Bunge yapongeza utekelezaji wa mradi wa SEQUIP-AEP

msumbanews.co.tz - 11/Sep 18:19

Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Michael Ng’umbi akitoa maelezo ya utekelezaji wa Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya...

DKT. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 13:54

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi,...

TAEC KUSHIRIKIANA NA ATC KUTOA STASHAHADA YA NYUKLIA

msumbanews.co.tz - 07:44

 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Najat Kassim Mohamed amesema Taasisi hiyo itakuwa mlezi wa programu maalumu ya...

TANZANIA YAWEKEZA KIMKAKATI KATIKA SEKTA YA TEHAMA ILI KUKUZA UCHUMI WA KIDIJITALI

msumbanews.co.tz - 08:01

Tanzania ina mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya kasi inawafikia...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA MAABARA YA TAEC ZANZIBAR

msumbanews.co.tz - 10/Sep 20:13

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh. Dkt....

NG'UMBI AWATAKA WADAU KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU

msumbanews.co.tz - 16:38

Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Prof. Michael Ng’umbi akifafanua jambo wakati wa mahojiano maalum kuhusu hali ya elimu nchini kupitia...

WAZIRI MAHUNDI AITAKA UCSAF KUTANGAZA SHUGHULI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI

msumbanews.co.tz - 11/Sep 05:11

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), amewataka viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément