X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 12/Sep 16:57

WAZIRI MAHUNDI AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO DAR

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amehitimisha ziara yake ya siku tatu kutembelea watoa huduma za mawasiliano zilizopo Mkoa wa Dar es Salaam.Amehitimisha ziara yake kwa kutembelea Kampuni ya TIGO ambapo amefurahishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Kampuni hiyo sanjari na kutoa ajira kwa zaidi ya vijana mia tano.Amesema uwekezaji uliofanywa unaendana na kasi ya dunia zaidi wakiungana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuhakikisha huduma za mawasilano zinatolewa kwa ufanisi mkubwa.Ziara yake Jijini Dar es Salaam imehusisha Kampuni ya Airtel, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kuhitimisha Kampuni ya TIGO.

Articles similaires

WAZIRI MAHUNDI AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO DAR

msumbanews.co.tz - 12/Sep 16:57

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amehitimisha ziara yake ya siku tatu kutembelea...

KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUONA IDADI YA WATUMIAJI WA DATA WANAONGEZEKA- MHANDISI MARYPRISCA

msumbanews.co.tz - 10/Sep 04:10

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel, Beatrice Singano akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa Ziara ya Naibu Waziri wa...

WAZIRI MAHUNDI AITAKA UCSAF KUTANGAZA SHUGHULI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI

msumbanews.co.tz - 11/Sep 05:11

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), amewataka viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano...

AIRTEL TANZANIA YAENDELEA KUPANUA WIGO VIJIJINI

msumbanews.co.tz - 06:15

Kampuni ya simu za mkononi Airtel kupitia kwa Mkurugenzi wa Biashara Joseph Muhele amesema kuwa mtandao huo mwaka huu 2024 unaendelea kufangua...

NAIBU WAZIRI MAHUNDI ATEMBELEA OFISI ZA UCSAF

msumbanews.co.tz - 10/Sep 20:25

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb), ametembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote...

TTCL YAUNGANISHA WILAYA 106 KWENYE MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

msumbanews.co.tz - 05:32

Mkurugenzi wa Ufundi na Undelezaji kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL,Mhandisi Cecil Francis ameeleza kuwa wamefanikiwa kuunganisha wilaya...

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

msumbanews.co.tz - 17/Sep 05:17

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza zaidi...

TANZANIA YAWEKEZA KIMKAKATI KATIKA SEKTA YA TEHAMA ILI KUKUZA UCHUMI WA KIDIJITALI

msumbanews.co.tz - 08:01

Tanzania ina mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya kasi inawafikia...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MKULAZI

msumbanews.co.tz - 09/Sep 06:59

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatuma Toufiq akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua...

MAONESHO YA MAVAZI, CHAKULA, NGOMA KUNOGESHA TAMASHA LA UTAMADUNI RUVUMA

msumbanews.co.tz - 17/Sep 11:10

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro,akizungumza kuhusu Tamasha la tatu la utamaduni kitaifa litakaloanza Septemba 20-23, mwaka...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément