X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 10/Sep 20:25

NAIBU WAZIRI MAHUNDI ATEMBELEA OFISI ZA UCSAF

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb), ametembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), zilizoko Mikocheni, jijini Dar es salaam.Mheshimiwa Naibu Waziri Mahundi, ametembelea ofisi hizo leo tarehe 10 Septemba, 2024 kwa lengo la kupata taarifa ya maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali kupitia UCSAF.Mhe. Naibu Waziri amepokelewa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Mhandisi. Peter Mwasalyanda pamoja na watumishi wengine wa Taasisi hiyo.

Articles similaires

WAZIRI MAHUNDI AITAKA UCSAF KUTANGAZA SHUGHULI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI

msumbanews.co.tz - 11/Sep 05:11

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), amewataka viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano...

WAZIRI MAHUNDI AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO DAR

msumbanews.co.tz - 12/Sep 16:57

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amehitimisha ziara yake ya siku tatu kutembelea...

WAZIRI MAHUNDI AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO DAR

msumbanews.co.tz - 12/Sep 16:57

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amehitimisha ziara yake ya siku tatu kutembelea...

KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUONA IDADI YA WATUMIAJI WA DATA WANAONGEZEKA- MHANDISI MARYPRISCA

msumbanews.co.tz - 10/Sep 04:10

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel, Beatrice Singano akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa Ziara ya Naibu Waziri wa...

TTCL YAUNGANISHA WILAYA 106 KWENYE MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

msumbanews.co.tz - 05:32

Mkurugenzi wa Ufundi na Undelezaji kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL,Mhandisi Cecil Francis ameeleza kuwa wamefanikiwa kuunganisha wilaya...

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MKULAZI

msumbanews.co.tz - 09/Sep 06:59

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatuma Toufiq akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua...

AIRTEL TANZANIA YAENDELEA KUPANUA WIGO VIJIJINI

msumbanews.co.tz - 06:15

Kampuni ya simu za mkononi Airtel kupitia kwa Mkurugenzi wa Biashara Joseph Muhele amesema kuwa mtandao huo mwaka huu 2024 unaendelea kufangua...

DKT. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 13:54

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi,...

KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARURA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 08:04

Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu...

KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARURA

msumbanews.co.tz - 13/Sep 08:04

Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément