X

Vous n'êtes pas connecté

Rubriques :

Maroc Maroc - MSUMBANEWS.CO.TZ - A La Une - 12/Sep 10:31

MAIPAC KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE KUTETEA HAKI ZAO

 MAIPAC kuzindua mradi wa kuelimisha ukeketaji kwa watoto wa kike katika jamii ya kifugaji ya kimasai ikiwa ni pamoja na kuwajengea wanawake uwezo wa kutetea haki zao.Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Shirika la wanahabari la kusaidia jamii za pembezoni (MAIPAC) Musa Juma katika ziara iliyofanywa na Asasi za kirai katika wiki ya Asasi hizo iliyofanyika maeneo mbalimbali mkoani Arusha."MAIPAC imebaini kuwa watoto wa miaka miwili hukeketwa katika Jamii ya Kimasai hivyo tunampango wa kuzindua mradi wa kuelemisha kuhusu masuala mazima ya ukeketaji na ukatili kwa watoto wa kike , lakini pia kuwajengea Uwezo wa kujiamini wanawake wa kimasai na kuweza kutetea haki zao za msingi hasa katika kukemea Ukatili" amesema.Katika Ziara iliyofanywa na Asasi za kiraia (CSO) wadau wa asasi hizo wamepata wasaa wakutembelea maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujifunza kwa vitendo shughuli za maendeleo zinazofanywa na jamii kwa ujumla huku maeneo yaliyotembelewa na wadau hao ikiwa ni pamoja na Maendeleo ya Jamii Tengeru, Wilaya ya Longido,Kiwanda cha Uzalishaji wa Protini kwa ajili ya Mifugo.Hata hivyo wiki ya CSO hufanyika mara moja kila mwaka ambapo zaidi ya Wadau 600 wameweza kushiriki na kushirikishana Masuala mbalimbali ya kijamii kwa njia ya midahalo na Majadiliano ya kina yanayolenga Mchango wa ASAS hizo kwa maendeleo ya Taifa.

Articles similaires

MAIPAC KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE KUTETEA HAKI ZAO

msumbanews.co.tz - 12/Sep 10:31

 MAIPAC kuzindua mradi wa kuelimisha ukeketaji kwa watoto wa kike katika jamii ya kifugaji ya kimasai ikiwa ni pamoja na kuwajengea wanawake uwezo wa...

MAIPAC KUJA NA MKAKATI WA KUELIMISHA MADHARA YA UKEKETAJI

msumbanews.co.tz - 13/Sep 06:08

 LSF nao kuendelea kusaidia vikundi wanawake Longido.Shirika la Wanahabari la usaidizi wa.jamii za pembezoni(MAIPAC) linatajia  kuzindua mradi...

WATUMIA SHEREHE ZA UBATIZO KUKEKETA WATOTO SERIKALI YAONYA

msumbanews.co.tz - 17/Sep 09:34

Baadhi ya familia za Jamii ya kimasai wilaya ya Longido mkoa Arusha,zinadaiwa kutumia sherehe za Ubalozi kukeketa watoto wadogo ili kukwepa kukamatwa...

WANAWAKE LONGIDO WAJENGEWA UWEZO KUTAMBUA HAKI ZAO

msumbanews.co.tz - 12/Sep 06:22

 Wanawake kutoka jamii ya kimaasai katika Tarafa ya Longido wilaya ya Longido mkoa wa Arusha wameonyesha furaha yao baada ya shirika la Legal...

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

msumbanews.co.tz - 12/Sep 08:08

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba...

WAZIRI MAVUNDE AZINDUA UMOJA WA WASAMBAZAJI WA SEKTA YA MADINI

msumbanews.co.tz - 15/Sep 05:07

 Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akizungumza wakati akizindua chama cha Wasambazaji wa Sekta ya Madini Tanzania (TAMISA) jiji Dar es...

DKT. BITEKO ASISITIZA MAADILI, WELEDI NA UWAJIBIKAJI KATIKA UNUNUZI WA UMMA

msumbanews.co.tz - 09/Sep 13:54

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi,...

Les derniers communiqués

  • Aucun élément