Na Mahamudu Jamal, WMAWakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa...
Vous n'êtes pas connecté
JESHI la polisi limesema kuwa limedhamiria kuboresha huduma zake ikiwa ni pamoja na kubadili fikra juu ya jeshi hilo, kusimamia sheria kikamilifu pamoja na kuimarisha matumizi ya mifumo ya tehama na teknolojia katika utendaji wakeHayo yameelezwa jijini dar es salaam na Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi ilala Kamishna msaidizi wa polisi Mohamed Makusi wakati akipokea vifaa mbalimbali vya tehama ikiwemo kopyuta na printer (vichapishi) vilivyotolewa na wakalwa wa vipimo tanzania kwa jeshi hilo ili kuliongezea ufanisi wa kiutendajiVilevile amesema vifaa hivyo Vitasaidia kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kupunguza muda wa utoaji wa huduma hizo.“Vitatusaidia kutoa huduma bora za kipolisi kwenye ofisi zetu na pia vitasaidia wao (wananchi) kutopoteza muda mwingi kusubiri huduma za kipolisi katika ofisi zetu za kipolisi mkoa wa ilala” Amesema Makusi.“Kwenye maadhimiaho ya miaka 60 ya jeshi la polisi kauli mbiu ni huduma bora za kipolisi zitapatikana kwa kubadili fikra, usimamizi wa sheria na matumizi ya tehama, hivyo nyinyi mmeingia kwenye eneo la matumizi ya tehama kwa hiyo tunawashukuru sana” Aliongeza kamanda Makusi.Kwa upande wake meneja wa wakala wa vipimo mkoa wa ilala Muono Nashon amesema lengo ni kuimarisha utendaji wa jeshi la polisi kwani wamekuwa wakifanya kazi kwa karibu na jeshi hilo kwani kupitia kesi mbalimbali za jinai zinazoibuliwa na wakala wa vipimo.“Tumekuwa tukifanya kazi kwa karibu sana na jeshi la polisi kwani ukiangalia kazi zetu nyingi zinaendana na jinai ambapo mara nyingi tunawahitaji polisi ili kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake hivyo vifaa hivi vitasaida kuboresha utendaji kazi na kuomarisha mahusiano yetu na jeshi la polisi” Alibainisha Muono
Na Mahamudu Jamal, WMAWakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa...
Na Veronica Simba, WMA DodomaWakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Dodoma imetoa elimu ya vipimo kwa Watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amehimiza wananchi jijini Mwanza kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kila mara wanapofanya...
Wajasiriamali wadogo wapatao 500 wanaojihusisha na uchimbaji na uchakataji kokoto Jijini Dar es Salaam wamewezeshwa vifaa kinga na kupatiwa mafunzo...
Wajasiriamali wadogo wapatao 500 wanaojihusisha na uchimbaji na uchakataji kokoto Jijini Dar es Salaam wamewezeshwa vifaa kinga na kupatiwa mafunzo...
CHAMA cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO SACCOS),kimetoa mashuka ya vitanda zaidi ya 1000 kwa lengo la kuboresha...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Alban Kihulla akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari katikq Mkutano mwendelezo ya Mikutano...
Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa na chama cha upinzani Chadema kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe...